uchawi ni mambo ya kiroho! Na mchawi hamind sana pesa... Hata hvo hata bank nazan kuna mkono wa uchawi au kinga dhidi ya uchawihao wachawi wenye uwezo mkubwa waende Bank wakaibe pesa kichawi. Kwanini wanashindwa.?
uchawi ni mambo ya kiroho! Na mchawi hamind sana pesa... Hata hvo hata bank nazan kuna mkono wa uchawi au kinga dhidi ya uchawi
Sie tuliambiwa lazima ukalitupe uvunguni mwa kitanda tena ukiwa umeinama ulilushe kupitia katikati ya miguu,na huku unaimba wimbo kumwambia panya alichukue akupe jipya!Uki ng'oa Jino lazima ulitupe juu ya bati.
Usipo tupa halioti.
[emoji16][emoji16]Tuliambiwa soma kwanza, huko mbeleni utalala mpaka uchoke. Ila naona kila nikisogea huko mbeleni ndiyo masaa ya kulala yanapungua zaidi.