Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 43,973
- 150,463
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilidanganywa vingi...
Nilikuwa napenda sana kulia lia hovyo pengine kitu kidogo nalia,niliambiwa nkilia usiku ni kuita wachawi na wataondoka na sauti yangu nitakuwa bubu. Nikaacha habari za kujiliza Liza na madeko.
Kingine kula muhindi unaambiwa njoo nikuwekee njia ya kwenda kwenu (wanatamka origin yako huko kwenu)