Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utopolo wengi wangekuwa vipofu 😃Mfano hii slogan ingekuwa ya kweli, basi mashabiki wa utopolo wengi wangekuwa vipofu.
Wasazi ya zamani nachanganyaSisi wakati tunakua tuliambiwa maneno mengi sana na kweli tuliyatii kutoka na kutokuwa na uelewa wowote kwa miaka hiyo hivyo kupelekea kuamini ni la kweli kwa kila tulilo ambiwa.
Moja ya maneno ambayo yalikuwa yanaimbwa kama "Ukimuangalia mtu aliekaa UCHI basi nawe unakuwa kipofu" ilitusaidia hata kama kwa bahati mbaya umeona basi hakukuwa na ulazima wa kurudia kuangalia kutokana na onyo hilo.
Mfano hii slogan ingekuwa ya kweli, basi mashabiki wa utopolo wengi wangekuwa vipofu.
Wewe ulisikia au uliambiwa kipi ambacho baadae ukaja gundua ni uongo?
Yanga wenye akili wawili, sasa wao wangekuwa wanarudia kuangalia na hatimae kundi kubwa lingekuwa kwao kwa upofuUtopolo wengi wangekuwa vipofu [emoji2]
Hebu fafanua bosi.
mkuu usije ukaenda kwa mganga wa kienyeji ukanyea nyumbani kwake mchana kweupe... Hapo ndio utajionea practical ya uchawi... Achana na dar kanye mikoa ya kanda ya ziwa hukoStori za kuhusu Uchawi, Biblia na Quran niliziamini sana zamani
Baada ya kuwa mtu mzima nimegundua ukweli kwamba Uchawi ni hadithi za kufikirika, biblia na Quran zimeandikwa na wajanja wa zamani kwa ajili ya kucontroll watu
mkuu usije ukaenda kwa mganga wa kienyeji ukanyea nyumbani kwake mchana kweupe... Hapo ndio utajionea practical ya uchawi... Achana na dar kanye mikoa ya kanda ya ziwa huko
yaani lengo la kufanya hvo ni kuprove kama uchawi upo... Sasa utarogwaje bila kumkosea mchawiSio kwa mganga tu hata kwa mchungaji ama kwa kipofu siwezi,,, Ni chizi peke yake ndie anaeweza kwenda Kunyea nyumba ya mtu .
Civilizations inafundisha Ustaarabu kujihehimu na kuheshimu wengine.
Tendo la Kunyea tu ,,nyumba ya mtu ni kutojiheshimu hata kama hiyo nyumba haina ulinzi wowote
yaani lengo la kufanya hvo ni kuprove kama uchawi upo... Sasa utarogwaje bila kumkosea mchawi
uchawi upo, kurogwa watu wanarogwa kila siku, lakini hawarogi sana coz wanaogopa vita maana ukimroga mtu lazima ndugu zake walipize visasi, mkuu sema hujawahi kuona, shinyanga watu wanakatwa mapanga, ungekuwa ushawahi fika shy ukashuhudia ngoma za wasukuma ungekuwa ushanielewa, yani wanaroga live bila chenga, unayoyaona kwenye TV unaona live mtu analeta mvua mwezi wa 8, watu wanarogwa wanakufa wakiwa mchezoni vinaeata visasiKunya ndio kuna prove uchawi upo ?
Uchawi ni hadithi za kufikirika kiingereza wanaita Myth
Kama uchawi ungekuwepo na ungekuwa unafanya kazi dunia isingekua sehemu salama ya kuishi, kwasababu ukimzingua mtu kidogo tu ushamrog(zaidi ya 50% population wangekuwa vichaa), mabenki yangekuwa yanatangaza hasara tu kilasiku kwasababu ya chumaulete, wazungu wangekuwa wanashangaa kuwaona waafrika wanaongezeka kwa Kasi ya ajabu kwenye nchi zao(kumbe wamepaa na ungo kwenda kwenye nchi hizo zilizoendelea badala ya kutumia njia hatarishi
uchawi upo, kurogwa watu wanarogwa kila siku, lakini hawarogi sana coz wanaogopa vita maana ukimroga mtu lazima ndugu zake walipize visasi, mkuu sema hujawahi kuona, shinyanga watu wanakatwa mapanga, ungekuwa ushawahi fika shy ukashuhudia ngoma za wasukuma ungekuwa ushanielewa, yani wanaroga live bila chenga, unayoyaona kwenye TV unaona live mtu analeta mvua mwezi wa 8, watu wanarogwa wanakufa wakiwa mchezoni vinaeata visasi