Uliambiwa nini ukiwa Mtoto lakini baada ya kukua ukagundua ni Uongo?

Uliambiwa nini ukiwa Mtoto lakini baada ya kukua ukagundua ni Uongo?

Nilidanganywa vingi...
Nilikuwa napenda sana kulia lia hovyo pengine kitu kidogo nalia,niliambiwa nkilia usiku ni kuita wachawi na wataondoka na sauti yangu nitakuwa bubu. Nikaacha habari za kujiliza Liza na madeko.

Kingine kula muhindi unaambiwa njoo nikuwekee njia ya kwenda kwenu (wanatamka origin yako huko kwenu)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Et rud kavae viatu ndan nakusubir APA APA ukiingia tu ndan kutoka nje mama hayupo nalia had nacnzia apoapo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nilikuwa naambiwa nikutengenezee njia inayoenda kwa bibi yangu ili nije nipite wakati wa kwenda kumsalimia, hapo nafurahi kweli kweli huku muhindi analiwa tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani walitulia vitu vyetu kwa kweli
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani walitulia vitu vyetu kwa kweli
Yaani utoto unavituko sana.

Pia tulikuwa na utamaduni wa kugawiwa maziwa kwenye kikombe kila mmoja, sisi watoto unakuta tunadanganywa ''lete nikupunguzie hutaweza kuyamaliza na ukinywa sana utakojoa kitandani", hapo unampa mtu maziwa unabakiwa na maziwa kidogo.
 
Yaani utoto unavituko sana.

Pia tulikuwa na utamaduni wa kugawiwa maziwa kwenye kikombe kila mmoja, sisi watoto unakuta tunadanganywa ''lete nikupunguzie hutaweza kuyamaliza na ukinywa sana utakojoa kitandani", hapo unampa mtu maziwa unabakiwa na maziwa kidogo.
Na thodaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]utasikia utakojoa kitandani wewe. Ukikojoa tunakutembeza mtaa mzima
 
Nilikuwa naambiwa nikutengenezee njia inayoenda kwa bibi yangu ili nije nipite wakati wa kwenda kumsalimia, hapo nafurahi kweli kweli huku muhindi analiwa tu
Teh teh bila shaka wengi miongoni mwetu tumetengenezewa sana njia mkuu....!
 
Mama kaenda kununua mtoto na kweli jioni akarudi na mdogo wangu
Ilo swali nilikua najiulizaga sana wakati mtoto kabisa najiulizaga peke yang mtoto anatokea wapi?[emoji16][emoji16]
Mbona alikua na tumbo kubwa ila hajachanika hata sehem.....siku kuna mdada m1 kajifungua jirani nikaenda kumuona mtoto wake maana napenda sana watoto....si nikakuta kadi la grafu la uchungi....nikaanza kusoma lote nakuta sehem dam imemwagika sana pameweka na tiki pia kachanika na ameshonwa pamewekwa tiki.......
Mmmmhhhh nikawa namuamgalia yule mmama baadae akachukua kadi akaweka...mala kaja mgen anamwambia mwenzangi nimeshonwa aiseee nilitaka kuzimia kwa mawazo sasa mbona hana kidonda........???

Kukawa na mzaz mwingine Nyumba ingine kama kawaida yangu nikaenda ila mle sikukuta kadi nikakaa wee nikaona kajitabu nikaanza kusoma nikaona mtu anavyozaa ila nikawa najiuliz mbona mtoto anatokea njia ya mav?? Nilibase sana kwenye picha na si kusoma yule Dada alipokuja akanipokonya Kitabu......

Nikawa namawazo sasa nikimuuliz mama mtoto anatokea wapi anasema baharini....namjibu sio kweli, nikimjib sio anasem ila wanapatikana sehem2 kama si baharini unanunua....nikaona ananichanhanya[emoji16][emoji16]

Nikamuuliza mtoto mwenzangu ilo swali akasema anatokea pakunyea ndio nikaamini ila nikawa kila nikikaa nalimganisha kichwa cha mwanadam kinawezaje kutoka mku...ndu..ni nilipata shida sana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] umenikumbusha mbali sana
 
Sisi wakati tunakua tuliambiwa maneno mengi sana na kweli tuliyatii kutoka na kutokuwa na uelewa wowote kwa miaka hiyo hivyo kupelekea kuamini ni la kweli kwa kila tulilo ambiwa.

Moja ya maneno ambayo yalikuwa yanaimbwa kama "Ukimuangalia mtu aliekaa UCHI basi nawe unakuwa kipofu" ilitusaidia hata kama kwa bahati mbaya umeona basi hakukuwa na ulazima wa kurudia kuangalia kutokana na onyo hilo.

Mfano hii slogan ingekuwa ya kweli, basi mashabiki wa utopolo wengi wangekuwa vipofu.

Wewe ulisikia au uliambiwa kipi ambacho baadae ukaja gundua ni uongo?
 
NIliwahi kukaririshwa kuwa ukikojoa bararana akaja mwanamke akaruka mkojo wako basi ndo haudindishi tena
 
"Kila kijiji kitapata milioni mia moja (100M)"
"Nitaleta bahari dodoma"
"Hatuna uhaba wa dola wala mafuta"
 
Ile nilipoambiwa watoto huwa wanaokotwa mtoni, nilipokuja kugundua walichokuwa wakikifanya baba na mama, nilijicheka mwenyewe. Sisi wa vijijini tuliambiwa mtoto anaokotwa mtoni, ninyi wa mjini najua mliambiwa mmemnunua hospitali. kumbe mechi zilipigwa.
 
Back
Top Bottom