Ulianza kunywa pombe ukiwa na umri gani?

Ulianza kunywa pombe ukiwa na umri gani?

Satirical Yet Awesome

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2023
Posts
629
Reaction score
1,688
Nahisi kuna mapepo ya kunywa pombe yananifatilia.

Mzee wangu huwa anapenda kuhifadhi pombe kwenye fridge, yaani ukifungua fridge hukosi pombe, anapendaga aina ya Heineken na desperados.

Zikiisha kweny fridge, utamsikia "Oya dogo natoka mara moja narudi asaiv"....akirudi lazima awe amebeba bia za kutosha.

Mama kaongea sana hadi kachoka kuhusu tabia ya kuhifadhi bia kweny fridge ila mshkaji hata aelewi.

Huwaga anani onya sana kuhusu matutizi ya pombe, na huwa namsikilizaga sana, sijawahi kunywa pombe zake.

Ila sikuiz nikiziona huwa naziangaliaga sana, natamani hata nionje kidogo.

Kwaio swali langu sasa, Ulianza kunywa pombe ukiwa umri gani na kitu gani kilikushawishi?
 
Nahic kuna mapepo ya kunywa pombe yananifatilia.

Mzee wangu huwa anapenda kuhifadhi pombe kweny fridge, yaan ukifungua fridge hukosi pombe, anapendaga aina ya Heineken na desperados...
Wanywaji wa pombe huwa ni watu safi sana.Huwezi kumkuta mnywaji anamshauri mtu mwingine anywe pombe.
 
Back
Top Bottom