Ulianza kunywa pombe ukiwa na umri gani?

Ulianza kunywa pombe ukiwa na umri gani?

Nahic kuna mapepo ya kunywa pombe yananifatilia.

Mzee wangu huwa anapenda kuhifadhi pombe kweny fridge, yaan ukifungua fridge hukosi pombe, anapendaga aina ya Heineken na desperados.

Zikiisha kweny fridge, utamsikia "Oya dogo natoka mara moja narudi asaiv"....akirudi lazima awe amebeba bia za kutosha.

Mama kaongea sana hadi kachoka kuhusu tabia ya kuhifadhi bia kweny fridge ila mshkaji hata aelewi.

Huwaga anani onya sana kuhusu matutizi ya pombe, na huwa namsikilizaga sana, sijawahi kunywa pombe zake.

Ila sikuiz nikiziona huwa naziangaliaga sana, natamani hata nionje kidogo.

Kwaio swali langu sasa, Ulianza kunywa pombe ukiwa umri gani na kitu gani kilikushawishi?
19 Ila zshanishinda kwakwer chungu Yan haina hat radha
 
Ulidhani sipo huku JF bac utanieleza kesho
😁😁Najua ID yake mi sio fala last seen zamani sana, akinunua simu mpya email namwekeaga Mimi nyimbo za injili nazidownload mm, ads naziblock mm
 
No It's Haram
Pombe ni mother of all evils
 
Mi nikiwa darasa la sita mshua na wenzake walikuwa wanarudi kutoka kazini jeshin walikuwa wanahenyesha kuruta Ruvu jkt WAKARUDI NA KIDUMU CHA GONGO WAKAPIGA IKABAKI ROBO FLAN nikapita nayo japo kali ila kautam flan nilikapata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom