Ulianza kunywa pombe ukiwa na umri gani?

Mi pombe za viwandani sio mtumiaji ila zle za kijijini za asili nazitembeza vizuri japo kiuwizi wizi maana mzee akinikamata ata-edit wosia
 
2023-1993=30
Miaka thelathini imepita bila athari ndio athari zije kunikuta kisa pombe?
Saiv kama sikosei utakuwa around 48-55 years old,huu ndiyo umri ambao pancrease+liver zinaanza kupoteza nguvu zake ni hatar
 
Nahic kuna mapepo ya kunywa pombe yananifatilia.

Mzee wangu huwa anapenda kuhifadhi pombe kweny fridge, yaan ukifungua fridge hukosi pombe, anapendaga aina ya Heineken na desperados.

Zikiisha kweny fridge, utamsikia "Oya dogo natoka mara moja narudi asaiv"....akirudi lazima awe amebeba bia za kutosha.

Mama kaongea sana hadi kachoka kuhusu tabia ya kuhifadhi bia kweny fridge ila mshkaji hata aelewi.

Huwaga anani onya sana kuhusu matutizi ya pombe, na huwa namsikilizaga sana, sijawahi kunywa pombe zake.

Ila sikuiz nikiziona huwa naziangaliaga sana, natamani hata nionje kidogo.

Kwaio swali langu sasa, Ulianza kunywa pombe ukiwa umri gani na kitu gani kilikushawishi?
una chanzo chochote cha mapato ndugu yangu..? au chanzo chako ni mzazi..? kama huna nakushauri ukitafute kwanza, kwa umri wa 20yrs ukianza pombe bila angalau mtaji wako utaishia pabaya
ni bora uanze pombe ukiwa primary maana huwez kwenda kukaa baa, lakin kwa umri wako utahitaji outings, je itakuaje..?

vipi lkn mzee wako akilewa, hua haleti noma hapo home au ni wale wa kuongea sana na kucheka..?
 
Same situation to me but nilikunywa ila kwa nguvu ya Yesu naipambania Roho yangu
 
una chanzo chochote cha mapato ndugu yangu..? au chanzo chako ni mzazi..? kama huna nakushauri ukitafute kwanza, kwa umri wa 20yrs ukianza pombe bila angalau mtaji wako utaishia pabaya
ni bora uanze pombe ukiwa primary maana huwez kwenda kukaa baa, lakin kwa umri wako utahitaji outings, je itakuaje..?

vipi lkn mzee wako akilewa, hua haleti noma hapo home au ni wale wa kuongea sana na kucheka..?
Hana noma.
 
Back
Top Bottom