Ulianza kunywa pombe ukiwa na umri gani?

Ulianza kunywa pombe ukiwa na umri gani?

Ila sikuiz nikiziona huwa naziangaliaga sana, natamani hata nionje kidogo.
Mi nafkiri miaka 8,mdingi akiwa anatwanga Safari zake visoda vyangu.
Nanusa tu vifuniko hapo tunapiga story mpk achoke.
Badae tunaagana ye anayumba namimi nayumba vilevile kwenda maghetoni.
Mkewe alikua mtu wa Fanta tu(mlokole)
Sasa hapo ili mzee asichepuke akirudi mziki wa Franco unapigwa au Sam Mangwana au Tabu Ley au Orchestra veve.
Tunabembea tu
 
Nilianza nikiwa darasa la tatu Ile kdg kdg mpk nafka 4m4 napiga safari 5 kubwa bila tabu ,nikaendelea nayo mpk 2019 December ndio nilachaa baada ya kunywa k vant nikaendaa geto na Dem cku zile nilipiga shoo mpk Dem akazimaa nikajua nimeuwa kutokana na ulev nilivyoona Dem kazima nikajua kachoka kalala NAMI nikajilazaa kuja kushtuka asubuh Dem anamaataapishi mdomon na shukaa limelowa damu htr htr aiseee nilidataaa [emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]..ilaaa niliweza kumsaidia na kurudi Kwenye Hali yakee.

Baada ya hapo nilijitafakari sana kuhusu pombee nikaonaa niachanee nayo,,kiufupi pombe imenipitisha visanga kibao vya madem...
 
Breaking Bad
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hujaathirika?? mbuyu ulianza kama mchicha,the worst is yet to come[emoji16]

NapitaKamaRadi
2023-1993=30
Miaka thelathini imepita bila athari ndio athari zije kunikuta kisa pombe?
 
Nahic kuna mapepo ya kunywa pombe yananifatilia.

Mzee wangu huwa anapenda kuhifadhi pombe kweny fridge, yaan ukifungua fridge hukosi pombe, anapendaga aina ya Heineken na desperados.

Zikiisha kweny fridge, utamsikia "Oya dogo natoka mara moja narudi asaiv"....akirudi lazima awe amebeba bia za kutosha.

Mama kaongea sana hadi kachoka kuhusu tabia ya kuhifadhi bia kweny fridge ila mshkaji hata aelewi.

Huwaga anani onya sana kuhusu matutizi ya pombe, na huwa namsikilizaga sana, sijawahi kunywa pombe zake.

Ila sikuiz nikiziona huwa naziangaliaga sana, natamani hata nionje kidogo.

Kwaio swali langu sasa, Ulianza kunywa pombe ukiwa umri gani na kitu gani kilikushawishi?
By the time naanza darasa la 1, nilikua tayari najua pombe kali zote kiasi kwamba ukinifunika macho ukanilambisha najua hii ni konyagi, hii ni vat 69, hii ni grants, hii ni dodoma wine nk. Bia nimekuja kuzianza niko form 6 na sikuzipenda nikaacha mpaka leo sinywi chochote zaidi ya wine.
 
Back
Top Bottom