Ulianzaje kukaa gheto?

comment yako imesaidia wengi. asante
 
Hua namshangaa kijana ana smartphone amejaza App's za kijinga arafu hana Jamii Forum mimi simu yangu hata iwe na space ya kuweka app moja nitaweka JF
 
Piga kelele kwa jerrybanks akeeee weweeee.
Unashahili pongezi
 
[emoji3][emoji3][emoji3]dah
 
Sisi ambao hatujawahi kukaa gheto sijui tuna comment wapi?

Kwa upande wangu sijawahi kuishi gheto kabisa, nilipomaliza chuo nilirudi home nikakaa kwa miaka mi tatu then nikaoa ndio nikaondoka kwa wazazi, nikaanza kuishi na familia yangu binafsi.
Acha uhaya
Onyesha room YAKO kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…