Ulianzaje kukaa gheto?

saluti brother...set ya sofa ulinunua bei gani?
 
240k Argentina, Manzese
Duuuh mbona cheap hivyo...ni sofa zenyewe kali zile kama za carpet au za vitambaa..ningepata picha ingependeza mkuu au connection maana mimi nahitaji hizo vitu na nipo Tabata
 
Duuuh mbona cheap hivyo...ni sofa zenyewe kali zile kama za carpet au za vitambaa..ningepata picha ingependeza mkuu au connection maana mimi nahitaji hizo vitu na nipo Tabata
Mimi nilimpa pesa baba yangu mdogo, akaniletea, ni sofa nzuri since 2017 wanakalia na bado nzima, ni ya watu watatu, na kimoja cha watu wawili, mito ya box, picha haitawezekana mana sipo kule siku hizi.
 
hz biashara za online zina mambo sana bro. siku za nyuma nishawahi kuagiza vioo viwili vya samsung J5.(kwa lengo la kuja kuuza bongo) . nilijaribu kutafuta vya bei rahisi ali Express nkapata vya 45000 kila kimoja. nikaagiza viwili. vioo vimefika bongo natangaza sipat wateja asee. nkaamua kwenda kariakoo nikawauzie mafundi smu, duh ile nawaambia nauza kioo! wakanambia mbna hki kioo ni namba 2 (yaan ni copy) na sisi tunaviuza kwa 35000 tu!!! Asee nilichoka ikawa mwisho kuagza
 
Pesa ya board umelipa.?
 
Ungekuwa mbali sana aseee
 
Mimi nina miaka mitatu geto wala siwaz om now nipo likizo kwa bi mkubwa napoga zangu field naona nateswa kinomaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Aah πŸ˜€πŸ˜€ unahisi kama kukosa uhuru wa maamuzi eeh, ghetto unajiamulia ule nini nkπŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…