Ulianzaje kukaa gheto?

Wewe kama mimi.
 
[emoji23][emoji23]
 
Mungu ni Mwema sana kaka, all the best.
 
Mkuu ila inasikia kuna malipo ya kodi ....unapoenda kuchukua mzgo posts

ANYWAY

IPI njia nzuri ya kati ya inayotumiwa na kikuu( hawa wanakuletea mzigo direct).it means hakuna kodi Na. ALI EXPRESS wanaotuma posta with kodi unavoenda kuchukua posta
Kodi mkuu inategemea..unaweza kuikuta na unaweza usiikute....lakin pia hata ukiikuta ni ndogo sana...labda kama unaagiza mizigo mikubwa na mingi

Kikuu siwapend hivyo siwez recommend..hata bidhaa hawana zakutosha na nyingi mbaya...

Tumia AliExpres...kodi ya posta ikitokea umekutana nayo ni ndogo sana...na kama unatumia posta za mikoani ndo kabisa
 
online business sio kazi,kazi inakuja kwenye Kodi utakubali

usishangae bei ya bidhaa mtandao ikawa cheap kinachokuja kuliza watu ni kodi
Ni kweli..lakin inategemea unaifanya kweny scale ipi...mfano mm naipiga in small scale...yani kama nna hela naagiza pisi chache tu...hivyo sikutani na kodi au nikikutana nayo basi ni ndogo sana....hapa watu wanaweza fanya hii kitu as backup...
 
Mkuu kwema?

Usinisahau kwenye link manake ningekua nimepigwa hela na mdada mmoja hivi alieahidi kunifunza kununua vitu china

Usinisahau kabisa
Mkuu usjali...soon naweka..ngoja nireply kwanza watu..mana nilikua nmekuja mkoa kidgo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…