Ulianzaje kukaa gheto?

Kweli,anasema hapa ukiondoka nani wakufanya usafi[emoji23],nilihamaga yaan nilikuwa na kazi kila j,mosi naenda nyumbani kufanya usafi
Itabid huo utaratibu wa jmos uendelee [emoji3][emoji3]
 
Nashukuru mishe zinaendelea nimehama single room nimechukua chumba na sebule nimeongeza sofa na tv na meza ya TV nalipia 50 kwa mwezi.
Sio kinyonge shemeji yenu akija anakula mayai ya kuku wa kienyeji tu.
Ila Badoo vitu vingi Sina niendelea kujipanga.
View attachment 1939615View attachment 1939614
 

Attachments

  • IMG_20210829_212703_7.jpg
    38.5 KB · Views: 37
Big up sana mkuu... Chumba sebule kwa 50 umewin sana hapo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] alikuja akaniuliza nitamuoa lini maana tuna uchumba sugu toka Niko secondary mpaka leo. But uchumba unajulikana kwa wazazi.
Hahah dah kwel ume maintain penzi mkuu[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…