ze future
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 204
- 299
Asante mkuuKumara korogwe kumetulia japo sijaishi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuuKumara korogwe kumetulia japo sijaishi sana
[emoji106]Asante mkuu
Inachisha hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Itabid huo utaratibu wa jmos uendelee [emoji3][emoji3]
Big up sana mkuu... Chumba sebule kwa 50 umewin sana hapoNashukuru mishe zinaendelea nimehama single room nimechukua chumba na sebule nimeongeza sofa na tv na meza ya TV nalipia 50 kwa mwezi.
Sio kinyonge shemeji yenu akija anakula mayai ya kuku wa kienyeji tu.
Ila Badoo vitu vingi Sina niendelea kujipanga.
View attachment 1939615View attachment 1939614
Thanks Sana. Kwa huku niliko elfu 50 kwa chumba na sebule ndio Bei kubwa. Yaani nakaa nyumba standard ina marumaru na ceilingboard, maji na umeme. Sehemu ya kuoshea vyombo.Big up sana mkuu... Chumba sebule kwa 50 umewin sana hapo
Aisee safi sana kaka... Hapo shemej akija haez taman kusepa [emoji119][emoji119][emoji1][emoji1]Thanks Sana. Kwa huku niliko elfu 50 kwa chumba na sebule ndio Bei kubwa. Yaani nakaa nyumba standard ina marumaru na ceilingboard, maji na umeme. Sehemu ya kuoshea vyombo. View attachment 1939617View attachment 1939618View attachment 1939619
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] alikuja akaniuliza nitamuoa lini maana tuna uchumba sugu toka Niko secondary mpaka leo. But uchumba unajulikana kwa wazazi.Aisee safi sana kaka... Hapo shemej akija haez taman kusepa [emoji119][emoji119][emoji1][emoji1]
Thanks Sana. Kwa huku niliko elfu 50 kwa chumba na sebule ndio Bei kubwa. Yaani nakaa nyumba standard ina marumaru na ceilingboard, maji na umeme. Sehemu ya kuoshea vyombo. View attachment 1939617View attachment 1939618View attachment 1939619
Hahah dah kwel ume maintain penzi mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] alikuja akaniuliza nitamuoa lini maana tuna uchumba sugu toka Niko secondary mpaka leo. But uchumba unajulikana kwa wazazi.
Uhame uende wapi?? Kinachofata hapo n kwenda kuishi kwa babu yetu SHIMBA YA BUYENZE [emoji23][emoji23][emoji23]Nilishatia nia nikifikisha miaka 25+ nahama nyumbani,,,nilishahamaga mama akaniambia nirudi,nikarudi najipanga tena nikitoka sirudi Allah anifanyie wepesi....japo mama hataki[emoji16]
Kimara mwisho mitaa ya michungwani, na kingongo pia kupo vzuriMkuu hv ni kamara gani nzuri kukaa yani hakuna matukio ya kukabwa mana nilipo Sasa ni mabibo uku dah vibaka wengi sana uku
Hayo mayai ya kienyeji yanapatkana wapi kwa dar??Nashukuru mishe zinaendelea nimehama single room nimechukua chumba na sebule nimeongeza sofa na tv na meza ya TV nalipia 50 kwa mwezi.
Sio kinyonge shemeji yenu akija anakula mayai ya kuku wa kienyeji tu.
Ila Badoo vitu vingi Sina niendelea kujipanga.
View attachment 1939615View attachment 1939614
Jirani yangu kumbeKimara mwisho mitaa ya michungwani, na kingongo pia kupo vzuri
Ee,hapa nitaenda kwa babu,kumsaidia kulima nyanyaUhame uende wapi?? Kinachofata hapo n kwenda kuishi kwa babu yetu SHIMBA YA BUYENZE [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkoa wa Njombe mji wa makambakoMkoa gani huko ?