Ulianzaje kukaa gheto?

Mimi binafsi nimekulia kwa Dada yangu yaan ilikuwa inaniuma siku shem akianza kugawa vitasa kwa sista halafu anasema ukiondoka uondoke na huo mzigo wako, ilikuwa inauma sana . Baada ya kumaliza kidato cha nne tu sikutaka kiremba mwandiko mzee , niliondoka nyumban na kwenda kufanya kazi za ulinzi bila aibu maana nilijua maisha nayopitia . kuondoka home unatakiwa uamue bila kujali yatakayokukuta mbele
 
Kabisa mkuu...unahitaji kujilipua
 

Yaani simply ukitaka kutoka home ni ā€œondokaā€ aisee hongera kaka
 
mi baba angu wa kufikia alinifukuza, nikasepa afu alijua nitshangaika kumuomba nirudi home, nilifurahi coz home siku zote hasa mama hakupenda mtu kupanga wakati pa kukaa papo.... uzur nilivokuwa home nilikuwa najitahid tu kununua vitu vya ndani yaan vyote muhimu geto nilifikia kununua TV tu. maisha yakasonga,now ni mama nzuri tu
 
Hongera Sana bi dada,[emoji119][emoji119]
 

Hi comment ingekua pinned pale juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…