Akili ya kubeti
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 417
- 636
Daaah ingekua first year unapata boom ningehama home Mana dharau zinazidiš¬
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan mkuu 1st year hupat boom?
Hamna boom first year mpaka degree nilivyoambiwaKwan mkuu 1st year hupat boom?
Binti mzuri kama wewe utaakaaje kiwalani bwana hamia kimara,mbezi,kibamba,mbezi beach n.kNipo huku kiwalani mkuu
kweli akili ya kubetHamna boom first year mpaka degree nilivyoambiwa
Aah kwani kiwalani kuna shida gani mkuu, mbona pako poa tuBinti mzuri kama wewe utaakaaje kiwalani bwana hamia kimara,mbezi,kibamba,mbezi beach n.k
Au ndio mitaa ya wanyakyusa maana hapo dar kila kabila lina mitaa yake
Mfano
Wakurya -kitunda
Wahaya -temeke na tegeta
Wachaga-kimara
Nk
Kabisa mkuu...unahitaji kujilipuaMimi binafsi nimekulia kwa Dada yangu yaan ilikuwa inaniuma siku shem akianza kugawa vitasa kwa sista halafu anasema ukiondoka uondoke na huo mzigo wako, ilikuwa inauma sana . Baada ya kumaliza kidato cha nne tu sikutaka kiremba mwandiko mzee , niliondoka nyumban na kwenda kufanya kazi za ulinzi bila aibu maana nilijua maisha nayopitia . kuondoka home unatakiwa uamue bila kujali yatakayokukuta mbele
Mimi binafsi nimekulia kwa Dada yangu yaan ilikuwa inaniuma siku shem akianza kugawa vitasa kwa sista halafu anasema ukiondoka uondoke na huo mzigo wako, ilikuwa inauma sana . Baada ya kumaliza kidato cha nne tu sikutaka kiremba mwandiko mzee , niliondoka nyumban na kwenda kufanya kazi za ulinzi bila aibu maana nilijua maisha nayopitia . kuondoka home unatakiwa uamue bila kujali yatakayokukuta mbele
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu tafuta mke
Hongera Sana bi dada,[emoji119][emoji119]mi baba angu wa kufikia alinifukuza, nikasepa afu alijua nitshangaika kumuomba nirudi home, nilifurahi coz home siku zote hasa mama hakupenda mtu kupanga wakati pa kukaa papo.... uzur nilivokuwa home nilikuwa najitahid tu kununua vitu vya ndani yaan vyote muhimu geto nilifikia kununua TV tu. maisha yakasonga,now ni mama nzuri tu
Mimi binafsi nimekulia kwa Dada yangu yaan ilikuwa inaniuma siku shem akianza kugawa vitasa kwa sista halafu anasema ukiondoka uondoke na huo mzigo wako, ilikuwa inauma sana . Baada ya kumaliza kidato cha nne tu sikutaka kiremba mwandiko mzee , niliondoka nyumban na kwenda kufanya kazi za ulinzi bila aibu maana nilijua maisha nayopitia . kuondoka home unatakiwa uamue bila kujali yatakayokukuta mbele
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaa si atapigwa shoti za makalio...Nilianza hiviView attachment 1014442