Black Bolt
JF-Expert Member
- Jun 5, 2021
- 257
- 417
Usimdanganye wengi humu wamepanga baada ya kupata kazi...atafute kazi.Amua tu hata leo unaweza,yani ukisema ngoja nijipange ndio nitoke home ni vigumu sana kutoka.
Ile hofu ya "Sijui nitaishije?, "Nitakula nini? ,n.k ndio huwatesa watu.
Naungana na ww kuwatokomeza motivational speakers.Usimdanganye wengi humu wamepanga baada ya kupata kazi...atafute kazi.
Mtu anakwambia toka kaanze hivyovyo acha uoga How Come huingizi hata Sh 100 kwasiku ukapange.Naungana na ww kuwatokomeza motivational speakers.
Kazi......... Kipato....... Kujitegemea.
Kitanda umenunua bei gani kiongozi?Baada ya mshua afya kukaa sawa imenibidi nimeache kitaa nivute ghetto rasmi. Safari imeanza sasa. View attachment 1996144
sound bar mkuu ngaapi na zina redio kweli yaani fmGheto kama ghetoView attachment 2030223
Kabisa mkuu, me nilinunua sabufa mapema sana.Gheto bila sabufa ni stoo[emoji1787][emoji1787]
Hiyo shang chi legend of ten ringsGheto kama ghetoView attachment 2030223
Hii bed limekaaa mwamba mia ngapi hili?Baada ya mshua afya kukaa sawa imenibidi nimeache kitaa nivute ghetto rasmi. Safari imeanza sasa. View attachment 1996144
Hii bedi kaa yangu kabisa.Baada ya mshua afya kukaa sawa imenibidi nimeache kitaa nivute ghetto rasmi. Safari imeanza sasa. View attachment 1996144
Bei gani mzeeHii bedi kaa yangu kabisa.
Inadumu....
Mie nilichukua 250k pale mpakaniBei gani mzee
Bless kakaMie nilichukua 250k pale mpakani
Labda kwako Kazi ni nini?Usimdanganye wengi humu wamepanga baada ya kupata kazi...atafute kazi.
Mimi niwe motivational speaker ili iweje?Naungana na ww kuwatokomeza motivational speakers.
Kazi......... Kipato....... Kujitegemea.
Mnaishi mitaa ya nchi gani nyie?Mtu anakwambia toka kaanze hivyovyo acha uoga How Come huingizi hata Sh 100 kwasiku ukapange.
Wengi wamepanga baada ya kuanza kupata kipato.
Yan 1m unapata tu kitanda, godoro, TV showcase na TV hela inaisha.😃Hapa nina million cash ila nashindwa kuhamia getto maisha magumu
Jifunze na mishemsho, inasave time.Nimeanza rasmi kukaa geto wiki mbili nyuma apo sahv nipo nasoma mtandaoni jinsi ya kupika vyakula tofauti tofauti maan mwanzo nilikuwa nakula kwa migahawa ila nmeona kunamaliza tu hela na chakula hakina ladha hivyo juzi mwisho wa mwez nimenunua gas ndogo nmeweka ndani na sufulia na vyombo vidogo kama sahani, vijiko, mwiko n.k vyakula pekee najua kupika ni wali na ugali tu[emoji1][emoji1]
NB;UKIISHI GETO ALAFU NI BACHELOR NA KUWALA KIMASIKHARA WAPANGAJI WAKIKE NI SUALA GUMU KULIEPUKA[emoji51]
Mnatushusha sana jamani 🤣🤣Bos ilo geto manzi hachomoki naaapia[emoji2][emoji2] si wengine geto ni pc tu ndo tv na radio zetu[emoji23]
Nunua pan grill uwe unachoma mwenyeweNipo nachoma zangu nyama
Nkapike ugali getooo