Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Naungana na ww kuwatokomeza motivational speakers.

Kazi......... Kipato....... Kujitegemea.
Mimi niwe motivational speaker ili iweje?
Mimi nampa uhalisia wa maisha ya mpambanaji haswa,sio wote wanaweza kufuata mfumo huo.

Unajuaje kama jamaa anacho kiasi kidogo cha kuanzia maisha ya kupanga ila hana tu shughuli ya kumuingizia kipato?
 
Nimeanza rasmi kukaa geto wiki mbili nyuma apo sahv nipo nasoma mtandaoni jinsi ya kupika vyakula tofauti tofauti maan mwanzo nilikuwa nakula kwa migahawa ila nmeona kunamaliza tu hela na chakula hakina ladha hivyo juzi mwisho wa mwez nimenunua gas ndogo nmeweka ndani na sufulia na vyombo vidogo kama sahani, vijiko, mwiko n.k vyakula pekee najua kupika ni wali na ugali tu[emoji1][emoji1]

NB;UKIISHI GETO ALAFU NI BACHELOR NA KUWALA KIMASIKHARA WAPANGAJI WAKIKE NI SUALA GUMU KULIEPUKA[emoji51]
Jifunze na mishemsho, inasave time.
 
Back
Top Bottom