Nobody But Me
Senior Member
- May 4, 2021
- 160
- 111
[emoji23][emoji23][emoji23]Uhuru wa kuzidi nao akili zinatakiwa Sanaa [emoji1787][emoji1787] wakati nipo home nilikuwa siwaelewi wavuta shisha wakike.
Najishangaa now ni mvutaji pro max [emoji3064] napambana next year nisithubutu.
Ili Gheto liwe geto linahitaji vitu vinne muhimu... (1.KODI 2.KITANDA 3.JIKO 4.SABUFA)
Sio lazima uwe na(TV,MEZA,SOFA,KABATI,SHOWCASE)....Unaweza ukaongeza ukishatengamaaa taratibu
Vijana wa Jf wanawaza wapange wageuze magheto yao madanguro [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inashangaza kwa kweli.
Tatzo wanawake nao wanavutika kirahisi ukiwa na getto kali. Utaskia nkipata mda ntakuja kukusalimia, na muda atapata jioni[emoji23]... Baadae unatunukiwa tunda kimasiharaGheto sio sehemu ya kuingiza wanawake mtu unawaza upange ili uchakate papuchi aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tutafika mbinguni tumechoka sana
Ukiwa na godoro na sabufa bhaaaaaaas!.Mimi naona
1.Kodi
2.Godoro
3.Jiko
4.Sabufa
Nyie mnawatoa wap hao....mie pamoja na kupanga mwaka wa pili huu sijawahi kupata shobo za wanawake kisa Nina ghetto..na wengi wanajuaTatzo wanawake nao wanavutika kirahisi ukiwa na getto kali. Utaskia nkipata mda ntakuja kukusalimia, na muda atapata jioni[emoji23]... Baadae unatunukiwa tunda kimasihara
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ooooh kule n sawa, af mbna hata huku town shule ya tanga, kiwanja had lak 7, daaah.[emoji28]si unajua kule kwetu kiwanja hadi cha laki unapata Liganga kigonsera chochi huko[emoji1787]. Sasa kujenga na unaezeka nyasi eti
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
Hawajui ghettos n mahala patakatifu. [emoji23][emoji23][emoji23]Vijana wa Jf wanawaza wapange wageuze magheto yao madanguro [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu iyo sound bar apo umechukua kwa sh ngap na wap??Gheto kama ghetoView attachment 2030223
[emoji23][emoji23] au uko so serious bro... Mana wanaogopaga ma men wenye hawako social...Nyie mnawatoa wap hao....mie pamoja na kupanga mwaka wa pili huu sijawahi kupata shobo za wanawake kisa Nina ghetto..na wengi wanajua
Nimepapenda pale shule ya tanga pametulia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ooooh kule n sawa, af mbna hata huku town shule ya tanga, kiwanja had lak 7, daaah.
ntakufanyia bure mana mm ndo dalali mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] top manyota[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kodi sh.ngapi?
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaan kulipa kodi kitu ngumu kwangu mkuu[emoji41]ntakufanyia bure mana mm ndo dalali mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] top manyota
vijana tubadilike. kukaa gheto isiwe kgezo cha kuendekeza mapenz mda wote. bado tuna mengi ya kufanya mfano, kutafta pesa tujenge nyumba zetu, kutathmin mustakabali wa bidhaa kupanda bei kila sku, etcMkuu kama ukiwa na ghetto kali, utawala mpaka basi. Mimi ndo kwanza mwezi wa pili huu ila balaa lake mpaka naishia kuwakimbia.
[emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaan kulipa kodi kitu ngumu kwangu mkuu[emoji41]
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
Niliposema Kitanda...nilimaainisha na godoro lazima uwe nalo......Mimi naona
1.Kodi
2.Godoro
3.Jiko
4.Sabufa
Itakuwa sababu hii...[emoji23][emoji23] au uko so serious bro... Mana wanaogopaga ma men wenye hawako social...
Yes ndo pale pako safi kabisa.
Dgo kwa kua bado uko chuo,hebu subir umalize. Maana ukienda ghetto utamgharimu broo coz Kila kitu unategemea kwake. Raha ya ghetto uwe na michongo yako binafsi.Hii mada iliyoanzishwa ni nzuri ila changamoto zake sasa.
Mfano mimi nipo kwa bro hapa ana familia yake kabisa, hana noma kabisa sio yeye sio mkewe kila nikimwambia nachotaka ananipa ila nikitaka kusepa anakuuliza unaenda wapi?
Kufanya nini?
Wee soma kwanza(nipo chuo mwaka wa pili huu).
Mnavyoweka mada zenu sijui za kusepa home na kuhamia ghetto mnanitamanisha yaani mpaka najisemea ipo siku nikifika geto nitachapa sana mademu[emoji23]
Mnavyosifia mageto yenu mnatufanya tuanze kupachukia hapa nyumban na kupaona kama hapafai na kuona kama tunachelewa kuanza maisha yetu