Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,319
- 9,003
kwani kuna sabufa ambayo huwezi kuconnect na pcHv inawezekana kupata spika/sabufa ya kuconnect na PC maana mambo yangu nafanya kwa kujiogopa kama natumia mihadarati bhn..
NB;Ndo nmeanza maisha ya geto so usinishaur ninunue tv kipato bado
nielekeze sasa kaka unaconnect vpkwani kuna sabufa ambayo huwezi kuconnect na pc
kupitia bluetoothnielekeze sasa kaka unaconnect vp
pw za bei rahis kuanzia ni zipi na bei gankupitia bluetooth
unamiliki PC, nunua sea piano SP 661. Bei ni around 150 hadi 180 kutegemeana na location yakopw za bei rahis kuanzia ni zipi na bei gan
Pw mkuu shukranunamiliki PC, nunua sea piano SP 661. Bei ni around 150 hadi 180 kutegemeana na location yako
Big up sana kiongoz [emoji119][emoji119]Sasa Rasmi na mimi nimefanikiwa kupanga chumba kwakuanzia only 40 pande za ilala shukran sana Wakuu kwa hizi experience mtu unajua unaanzia wapi
ila bado godoro iko chini Mungu akijaalia soon tu kitanda nawekaView attachment 2019108View attachment 2019109
Big up sana mkuu umeupiga mwingi,,,,hakika hata mshua moyon kwake amekubali kua ww ni kidume cha mbegu..acha tusongeshe uziKwanza nitoe shukrani sana kwa mkuu Walec kwa kufikiria kuanzisha uzi huu ambao umekuwa ni motivational kwa vijana wengi tena saanaa hakika hii ni akili kubwa hongera na pia nikushkuru maana hata mimi ni mmojawapo wa wale walionufaika na uzi huu matata sana .Hakika uzi huu utaishi milele 'na milele mkuu,
Huu uzi umekuwa inspirational kwangu 'na umenifanya nikasepa hom 'na kuanza maisha mapya tena kwa haraka saana bilabila kutizama nyuma kikubwa kilicho nipelekea kufanya maamuzi magumu ilikuwa n mishe za foleni kufungua mahotpot kila siku halafu mshua naye anakupa makavu kiaina japo hakwambiii ila utajiongeza tu mwenyewe
Namshukuru mungu nilianza japo kigumu sometime unahustle hadi kijiakili cha kurudisha mpira kwa kipa kinakuja lakini ukifkiria ushajikusanya mazaga kibao ukirudi itakuwa shangwe kwa wanga mtaani 'na hapo ndipo unapozidisha hustle ili uendeleze jahazi ulilolianza 'na kuepuka aibu .
Ila ukweli ni kwamba sasa nina amani tena sanaa 'na akili pia imekuwa ninawaza mbaali sanaa tofauti 'na nyumbani .
Ikumbukwe kwamba nyumbani nimeaacha room mbili za wazi lengo sio kukimbia ila lengo ni KUJITAMBUA KAMA MTOTO WA KIUME NA BABA WA FAMILIA FULANI BAADAYE maana ukizoea nyumbani kinachofuata ni kuja kugombania mali za urithi 'na wadogo zako
Ushauri: vijana tusiogope kuanza 'na kuhamia ghetto maisha ya gheto sio sawa 'na nyumban kila kitu free akili inalemaa
Mambo ya kula tunda kimasihara[emoji1787][emoji1787]Nimeanza rasmi kukaa geto wiki mbili nyuma apo sahv nipo nasoma mtandaoni jinsi ya kupika vyakula tofauti tofauti maan mwanzo nilikuwa nakula kwa migahawa ila nmeona kunamaliza tu hela na chakula hakina ladha hivyo juzi mwisho wa mwez nimenunua gas ndogo nmeweka ndani na sufulia na vyombo vidogo kama sahani, vijiko, mwiko n.k vyakula pekee najua kupika ni wali na ugali tu[emoji1][emoji1]
NB;UKIISHI GETO ALAFU NI BACHELOR NA KUWALA KIMASIKHARA WAPANGAJI WAKIKE NI SUALA GUMU KULIEPUKA[emoji51]
Mzee hii soundbar ukiweka movies watoto hawaruki [emoji119][emoji119][emoji119][emoji1787]Gheto kama ghetoView attachment 2030223
So kupitia mimi hope mtajifunza vijana wenzangu kuwa endapo utalitumia vizuri basi hakika maisha yak yatabadilika.pia la mwisho ni kumtafuta mwenza mwenye maono ila uiangukia kwa kwa hawa makahaba wa mjini utaishia kuhangaika mwisho wa siku unarudi nyumbani ukiwa na miaka 40,bila kufanya lolote
Jerrybanks GREAT STORY UMETISHA MKUU!
Huyo wakupga mswaki arudi.kulala labda akiwa kwao..ila akisha hamia geto mwenyew ataamka akasake chakufanyaKuunga unga...... "Leo ni saidia fundi sehem, kesho atapewa bajaj aendeshe kwa kutwa moja, siku inayofuata atabeba mizigo, ataingia kiwandani kwa masaa, n.k."
Kwa kifupi ni kuwa hana kazi rasmi ila anajishughulisha na chochote kitakachoibuka mbele yake, apate kipato.
Huyu ni tofauti na jobless ambae hana cha kushika kabisa. Asubuhi adamke, aswaki arudi kulala hadi saa 4, atafute chai, aoge, aangalie ishu ya lunch, atoke kwenda misele, arudi, aoge, ale alale.
akiyumba sana atafute ya SinsungTafuta hisence au tcl ,usinunue hzo brand ulizo taja ww
Hahahahaha mkuu maharage yanachemshwa wikiendi halafu yanakaa kwenye kisado ndani ya deep freezer [emoji2]Unapata wapi mda wa kupika maharage Mkuu?