WANA MAISHA LAZIMA YAENDELEE NA MAGHATTO LAZIMA YAENDELEE.
Nawasalimu katika jina la maghetto.
Mabroo na machalii nataka nishushe thread moja kuhusu maisha ya upambanaji, nafikiri itakua jioni ndo mda nzuri. Naamini inaweza kua isparational kwa wenzangu tuliosoma na hatukupata ajira na tukaamua kujiongeza wenyewe.
Pia kwa wale ambao hawana ajira rasmi yaan leo yupo huku, kesho yupo huku. Lkn life linaendelea.
Soon tu mkuu mambo yatakaa sawaGood start mwamba, ongeza bufa chap, ili ukivusha show ibambe, pia itakufanya usiwe mnyinge sana. Ukiwa alone ghetto. Umeanzia vizuri Sana big up.
Subscribed MkuuWANA MAISHA LAZIMA YAENDELEE NA MAGHATTO LAZIMA YAENDELEE.
Nawasalimu katika jina la maghetto.
Mabroo na machalii nataka nishushe thread moja kuhusu maisha ya upambanaji, nafikiri itakua jioni ndo mda nzuri. Naamini inaweza kua isparational kwa wenzangu tuliosoma na hatukupata ajira na tukaamua kujiongeza wenyewe.
Pia kwa wale ambao hawana ajira rasmi yaan leo yupo huku, kesho yupo huku. Lkn life linaendelea.
NaamView attachment 2144982
Chumba kimoja kama hiki kinatosha kuanzia maisha ya gheto, kitanda/godoro 5x6, sabufa, jiko la gas 15kg, nk
Well done mkuu [emoji91][emoji91]Thread ilinipa hasira View attachment 2145102
Aisee big up sana..nmependa hyo setup Hapo [emoji91][emoji91]Wakati nausoma huu uzi nilikuwa home sina chochote ila kazi nafanya (mishemishe) nikasema sio mbaya nikatoka nyumba kubwa nikaenda chumba cha nje nikaanza kuishi kama gheto hapo akili inawaza kulijaza kweli bhana sasa nina kila kinachotakiwa gheto na ni vya kwangu huu mwaka nawekeza kodi na akiba nahama na vitu vyangu.
View attachment 2145200
Tunasubiri mkuuWANA MAISHA LAZIMA YAENDELEE NA MAGHATTO LAZIMA YAENDELEE.
Nawasalimu katika jina la maghetto.
Mabroo na machalii nataka nishushe thread moja kuhusu maisha ya upambanaji, nafikiri itakua jioni ndo mda nzuri. Naamini inaweza kua isparational kwa wenzangu tuliosoma na hatukupata ajira na tukaamua kujiongeza wenyewe.
Pia kwa wale ambao hawana ajira rasmi yaan leo yupo huku, kesho yupo huku. Lkn life linaendelea.
Mkuu nimependa hio showcase materia ya hizo mbao yapoje naweza pata picha inayonekana vizuri ?Wakati nausoma huu uzi nilikuwa home sina chochote ila kazi nafanya (mishemishe) nikasema sio mbaya nikatoka nyumba kubwa nikaenda chumba cha nje nikaanza kuishi kama gheto hapo akili inawaza kulijaza kweli bhana sasa nina kila kinachotakiwa gheto na ni vya kwangu huu mwaka nawekeza kodi na akiba nahama na vitu vyangu.
View attachment 2145200
Tandika vizuri nawee lol. [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2144982
Chumba kimoja kama hiki kinatosha kuanzia maisha ya gheto, kitanda/godoro 5x6, sabufa, jiko la gas 15kg, nk
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Thread ilinipa hasira View attachment 2145102
Hongera sanaaa.Wakati nausoma huu uzi nilikuwa home sina chochote ila kazi nafanya (mishemishe) nikasema sio mbaya nikatoka nyumba kubwa nikaenda chumba cha nje nikaanza kuishi kama gheto hapo akili inawaza kulijaza kweli bhana sasa nina kila kinachotakiwa gheto na ni vya kwangu huu mwaka nawekeza kodi na akiba nahama na vitu vyangu.
View attachment 2145200
Kwenye kupika hapo nakupinga.Wakuu Kwema ?
Kwa experience yangu ndogo ya kukaa gheto, kama unajipikia mwenyewe gharama itakuwa juu, labda uwe unapika kingi unahifadhi jokofuni. Unless muwe zaidi ya mmoja ndani. Ila ni bora kuliko nyumbani, utalemaa akili
Inahitaji ujasiri na commitment kweli, maana wengine bi wakubwa ndo wanataka uendelee kukaa nao[emoji23]
Kuna rafiki yangu mmoja mama yake alijifanya mpk anaumwa akaenda kulazwa kabisa kwamba presha imepanda baada ya jamaa kuamua kuondoka home[emoji23], na jamaa akakaza hivyo hivyo mwaka wa tatu saivi mama keshazoea na jamaa kaoa last year
Anyway,
Hivi nyumba ya vyumba viwili na sebule kwa laki 2 inayojitegemea, ukiachana na maeneo ya kimara mpk mbezi mwisho au na pasiwe uswazi sana.. nyumba ya namna hiyo mtu unaweza kupata mitaa ya wapi ? Naomba usaidizi katika hili wakulungwa… bila dalali lakini[emoji16]
Bila dalali sio mchezo,angalia goba kule nyumba zipo mpya nyingi sana Bei kitongaWakuu Kwema ?
Kwa experience yangu ndogo ya kukaa gheto, kama unajipikia mwenyewe gharama itakuwa juu, labda uwe unapika kingi unahifadhi jokofuni. Unless muwe zaidi ya mmoja ndani. Ila ni bora kuliko nyumbani, utalemaa akili
Inahitaji ujasiri na commitment kweli, maana wengine bi wakubwa ndo wanataka uendelee kukaa nao[emoji23]
Kuna rafiki yangu mmoja mama yake alijifanya mpk anaumwa akaenda kulazwa kabisa kwamba presha imepanda baada ya jamaa kuamua kuondoka home[emoji23], na jamaa akakaza hivyo hivyo mwaka wa tatu saivi mama keshazoea na jamaa kaoa last year
Anyway,
Hivi nyumba ya vyumba viwili na sebule kwa laki 2 inayojitegemea, ukiachana na maeneo ya kimara mpk mbezi mwisho au na pasiwe uswazi sana.. nyumba ya namna hiyo mtu unaweza kupata mitaa ya wapi ? Naomba usaidizi katika hili wakulungwa… bila dalali lakini[emoji16]
Uko sahihi mkuu,bila shaka mkuu hapo juu ni mviv kupika [emoji23]Kwenye kupika hapo nakupinga.
Kujipikia kuna save gharama kubwa sana mkuu. Nina experience.
Unga wa buku yaani kilo moja napika ugali mara tatu.
Kuhemea vitu sokoni kama mbogamboga na viungo kunasave sana kuliko kula mgahawani.
Karibuni kuchangia au kunikosoa Wangari Maathai Zero IQ nk
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahah hii nchi ina vijana wa hovyo sanaNimeanza kukaa geto, ila changamoto, nina piga sanaa nyeto, najikuta natumia cost kubwa kwenye bundles kwa ajir ya kuangia porn
Uko sahihi mkuu,bila shaka mkuu hapo juu ni mviv kupika [emoji23]