Ulianzaje kukaa gheto?

Hamna ww tu,hata kama huna fridge unaacha tu mboga yako wazi,unakula asubuh,mchana na jioni na kesho tena asubuh yake...kula nje sio mchezo mkuu, [emoji119]
 

Mkuu nyama ukinunua ya buku 2 unapika unakula mara 2 tena una enjoy sio ule wa ndondo 2
Mchele nusu wa buku
Mafuta + mazaga buku
Kwa buku 4 unakula msosi mtamu sanaa milo miwili sasa mtaani hapo utapata ka wali kadogo mara ukute wali umepikwa vibaya
 
Tena ukija ukaamua kupika wali dagaa or ugali ndo price inaenda deep down
Sehemu nyingine nyama ya buku tu unapata ya kutosha
 
Hii kitu hua inaumiza sana,,,lkn pia hua inatujenga sana.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Champ[emoji120][emoji120]

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hapa mjini kutafuta nyumba bila dalali n sawa na kutafuta sidiria ya mikono mirefu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Eeeh bhana mm safari yangu sijui niseme n ngumu ni rahisi,
Nilimaliza form four huko mkoani kutokana na ukorofi mwingi nikashauriwa nije kwa dada dar au kwa shemeji kama wengi mpendavyo kusema[emoji23],maisha yalisonga form four nikadunda duung, nikaambia nikasome nikakataa nikaenda ufundi chap nikahitim nikaanza kujipatia ridhiki mtaani ila bdo nipo kwa dada,sasa ikafika mahali sijui n shetan anapitaga au mipango ya Mungu ili lengo litimie ikawa kama kisirani hapo home kuna beki 3 wa kiume mmoja na madogo walioko form 2 na form 1 wawili,mm n mkubwa kwao na nikipata vihela kuna huwa napiga tafu home nadhan mnaelewa,lkn nashangaa naambiwa eti niwah kuamka niende nikachote maji na nisaidie kazi za nyumbani,kwa mwanaume nikaona hii n kufukuzwa kijanja,nikatengeneza kitanda yangu swafi,nunua godoro lipa kodi kabisa nikaja kumwambia dada mm kesho nasepa,dada akagoma shemeji akagoma mama kijijin akagoma lkn nikaweka ngumu nasepa nikasepa,,,aisee nilipitia msoto mmoja heavy qmmk,kama mnakumbuka zamani kidogo kulikua na daladala zinapaki darajani pale zinaenda gongo la mboto kwa buku 2 usiku nimeendesha sana kihiace pale,Mungu si athuman life likaachia nikawa napiga kazi kimtindo nikaja kumpa mwanamke mimba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maisha ya mwanamme n kuteseka tuu,nikasema nikioa na huyu dem alivyo ntakua chizi dem akaenda kushtaki kwa yule dada angu nikaekwa kikao na ndugu nikasema nitampangishia chumba akakataa qmmk akasema niondoke mm nikatafute chumba yeye abaki pale ndugu wakakubali maana walsema wakikataa itaonekana wananipendelea isitoshe yeye hakua na ndugu kwenye hicho kikao,,

Baas bwana ikabidi nirudi kwa sister na beg langu la nguo,nmekaa pale huku napiga show zangu mtaani,,siku moja nimekaa Na jamaa angu akaniambia sasa iv unapata ela usiende tena kupanga utapotea pambana ujenge,yaaan yule jamaa n kama vile alinipiga kofi ili kushtua akili yangu,nikaanza michakato Mungu sio DeepPond wala sio rikiboy bhana[emoji23][emoji23][emoji23] nikafanikiwa kupata kakiwanja kenye 15 kwa 12 nikaplan room kadhaa nikafanikiwa kumaliza now naishi gheto la kwangu sio la kupanga tena[emoji120][emoji120][emoji120]

Mara nyingi mama wa mtoto ananiulizaga u ajisikiaje ukiwa kwako namuambia nakushukuru sana wewe kwa sababu kama sio wewe ungekuta nimepanga bado,

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Bro kuna vitu ukiwa ghetto unaweza nunua kwa wingi mfano mafuta ya kupikia,unga,mchele sukar na vya aina hio,unakua unabadili mboga tu...Kujipikia ina save sana pesa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseee
 
Big up mkuu,kikubwa umetoka kweny himaya yao,uko free sasa [emoji2]...
 
Tunasubiri mkuu
Wakuuu nitaleta uzi nilio uahidi, nilikua site mishemshe. But nimerudi home usiku huu.
Pia kuna wahuni wamedukua account yangu ya Instagram. Yaan Ni shida Kama Kuna mtu anajua namna ya kurudisha anisaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…