Ulianzaje kukaa gheto?

Kwa sisi tunaokaa bachela....kupika sio inshu...inshu ni kuosha vyombo...hapo ndo napataga changamoto naona bora nikale mgahawani...lakini economically, kupika kuna save cost.
Kumbe pacha wee n mvivu hivi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Yaani maisha ni mtihani mkubwa sana kwa sisi tuliotoka familiar za kimasikini...mungu tu atusaidie .
Ni kupambana tu mkuu hass ukishakua mwanaume
 
Kigamboni unapata bro, darajani pale
 
haya unayoyazungumza me nayaishi singumzii nadharia kupika msosi wa mtu mmoja ni gharama.
huyo samaki yupi wa buku tuma hata picha tuone. Hvyo vikorombwezo vyote ukija ukipiga hesabu 4000-5000+ imwkatika.

Ila pengine tunatofautiana mi nipo geto jana nimepiga wali njegere mchana na jioni
Gharama
Njegere 1k
Nyanya 200
Vitunguu nanunua vya buku natumia week 2
Karoti za buku natumia week
Hoho za jero natumia week
Mchele nusu ambao ni kama 1000
Ongeza gas ambayo ya 23k unatumia miez 2 so almost 400 per day

Jumla hapo ni almost 3000 na nimekula msosi mtamu na wakushiba ambao kama nikienda mgahawani ningejikuta nanunua kwa 2500@ hivo 5000 per day na bado usikute nisingeshiba plus kupewa msosi wenye kasoro kibao
 
Na zaidi ukinunua hivyo vitu utapika chakula cha kutosha utashiba sana na unaweza kukipa siku nzima ila sahani ha buku 2 hutoshiba au utashi a halafu ukovuka kizingiti cha mgahawa unaanza hisi njaa[emoji2]
 
Msosi naopika mimi huwa naanza kushiba kabla hata sijaumaliza[emoji2]

Kula geto raha sana

Siku ukiwa na hela tafuta nyama kilo kaanga au ichome andaa pili pili kali na ugali na ndizi pamoja maji baridi na kachumbali .

Maisha yanataka nini zaidi [emoji2]

Utashiba na kuiacha hio mboga hadi baadae au kesho
 
Haha😂😂😂
 
hata mimi napika home siku hz. Ishu ya gharama pia inategemeana na umetaka kula nini kwa siku hiyo. Yote kwa yote msosi wa kupika mwenyewe unabaki kuwa mzuri unapata ladha nzuri.
 
UKIWA UNA KAA GHETO AFU HUNA MADEMU WANAOELEWEKA,,,,, UTAKUWA MTUMWA WA PUNYETO ASEEEEEE,,,,,,,,. USHAURI BI4. HUJAPANGA GETO AT LEAST ISHI NA KUWA NA MADEMU WANAOELEWEKA. HATA KAMA UKIWAAMVIA ***** NJOO GETO TUPONGE ANAKUJA WITHOUT MINONG'ONOOOOO
 
bajeti yangu mgahawani
asubuhi 1000
mchana 1500
usiku 1500

jumla 4000 ×30

ila

getto nilichukua 40k nikanunua mchele,mafuta ,unga,samaki wa buku mbil nakula mara 3 au 2,nikibadili ni nyama

nilikuja kupiga tathmin mgahawan pesa kibao inatembea trust me.

location :katoro (huku 40k unapata chumba na sebule full tiles halafu kipana sana[emoji3][emoji3])


ushauri .GETTO NI KUJINYIMA WAZEE hasa ukiwa unaanza
 
NILIPOKUWA KWA WAZAZI (demu vs wahuni )

hello,
mbona kmya,
hello
nimekumic
mbona hujibu text zangu
mbona unanizungusha nikiomba tukutane
hello tukutane bondeni
mbona hufiki
nikute hapa kona kama unaelekea mtoni
oya wahuni msije saiv mshua yupo
oya mida mi naenda home



SAIV GETTO (text za demu)

mamb,upo nije[emoji3]
niandalie nguo kesho nakuja kukufulia
nipo njian nikuletee nini[emoji3]
nataka nije kufanya usafi
usipike nakuja[emoji3]

SAIV GETTO (text za wahuni wangu)

oya man lile dili limetiki vipi upo getto tukuletee mpunga au
oya kudadek nimekuletea pesa yako haupo
oi upo getto tunakupitia twende mazoezini
oi wapi hapo ,mzigo umefika sema bei imeshuka tutapa faida kidogo

MTOTO WA MWENYE NYUMBA (wanaishi jirani)

hello
mic you kingkongtz[emoji3]
upo free nije [emoji3][emoji3]
usipike nmekutunzia chakula



GETTO kuna raha yake
kula mbususu pia hakuepukik ila kuwa makin tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…