Ulianzaje kukaa gheto?

Nataka nivute ka flat 32 inches, brand gani ipo poa Kati ya aborder, Rising, europe, solarmax na ailyon

Msaada wadau

Pamoja na fridge boss, Mr uk au pinetech
Tafuta hisense 450k

Mr uk fridge inategemea size, ila size ya kati ni 520+ na haivuki 600
 
Bila shaka ulikua unaishi masha au nymalango
 
Bro kuna vitu ukiwa ghetto unaweza nunua kwa wingi mfano mafuta ya kupikia,unga,mchele sukar na vya aina hio,unakua unabadili mboga tu...Kujipikia ina save sana pesa
Kabisa hasa ukipata n kijokofu njaa utaskia kw jirani
 
Hii ya "kudunda duung" imenifanya nicheke kama vile ni mazuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…