Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

umechukua ngapi huo mzigo makelele kwangu ndo kwake?

image-2022-03-21-2:00:19-067 PM.jpg

Itazame vema
 
Nataka nivute ka flat 32 inches, brand gani ipo poa Kati ya aborder, Rising, europe, solarmax na ailyon

Msaada wadau

Pamoja na fridge boss, Mr uk au pinetech
Tafuta hisense 450k

Mr uk fridge inategemea size, ila size ya kati ni 520+ na haivuki 600
 
Bora umenisaidia kujibu.

Nilivokuwa chuo mboga ya buku nakula mara tatu.

Dagaa wa jero.
Karanga 200.
Nyanya 200.
Pilipili naomba ya bure.

Mafuta nilikuwa na dumu la lita 3 natumia miezi 4. Vitunguu nilikuwa nanunua Nata pale mwanza kimfuko jero au buku. Nikinunua vimfuko viwili natumia miezi mitatu nachagua tule tudogodogo nachanganya na tangawizi.

Unga wa ugali.

Nanunua mahindi sado moja 2500. Nasaga kama dona. Nikisaga unga mwngi utaoza that's why. Unadumu kwny kideli mwezi na nusu. Sili ugali daily lakini

Bila shaka ulikua unaishi masha au nymalango
 
Bro kuna vitu ukiwa ghetto unaweza nunua kwa wingi mfano mafuta ya kupikia,unga,mchele sukar na vya aina hio,unakua unabadili mboga tu...Kujipikia ina save sana pesa
Kabisa hasa ukipata n kijokofu njaa utaskia kw jirani
 
Bro kuna vitu ukiwa ghetto unaweza nunua kwa wingi mfano mafuta ya kupikia,unga,mchele sukar na vya aina hio,unakua unabadili mboga tu...Kujipikia ina save sana pesa
Kabisa hasa ukipata n kijokofu njaa utaskia kw jirani
 
Eeeh bhana mm safari yangu sijui niseme n ngumu ni rahisi,
Nilimaliza form four huko mkoani kutokana na ukorofi mwingi nikashauriwa nije kwa dada dar au kwa shemeji kama wengi mpendavyo kusema[emoji23],maisha yalisonga form four nikadunda duung, nikaambia nikasome nikakataa nikaenda ufundi chap nikahitim nikaanza kujipatia ridhiki mtaani ila bdo nipo kwa dada,sasa ikafika mahali sijui n shetan anapitaga au mipango ya Mungu ili lengo litimie ikawa kama kisirani hapo home kuna beki 3 wa kiume mmoja na madogo walioko form 2 na form 1 wawili,mm n mkubwa kwao na nikipata vihela kuna huwa napiga tafu home nadhan mnaelewa,lkn nashangaa naambiwa eti niwah kuamka niende nikachote maji na nisaidie kazi za nyumbani,kwa mwanaume nikaona hii n kufukuzwa kijanja,nikatengeneza kitanda yangu swafi,nunua godoro lipa kodi kabisa nikaja kumwambia dada mm kesho nasepa,dada akagoma shemeji akagoma mama kijijin akagoma lkn nikaweka ngumu nasepa nikasepa,,,aisee nilipitia msoto mmoja heavy qmmk,kama mnakumbuka zamani kidogo kulikua na daladala zinapaki darajani pale zinaenda gongo la mboto kwa buku 2 usiku nimeendesha sana kihiace pale,Mungu si athuman life likaachia nikawa napiga kazi kimtindo nikaja kumpa mwanamke mimba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maisha ya mwanamme n kuteseka tuu,nikasema nikioa na huyu dem alivyo ntakua chizi dem akaenda kushtaki kwa yule dada angu nikaekwa kikao na ndugu nikasema nitampangishia chumba akakataa qmmk akasema niondoke mm nikatafute chumba yeye abaki pale ndugu wakakubali maana walsema wakikataa itaonekana wananipendelea isitoshe yeye hakua na ndugu kwenye hicho kikao,,

Baas bwana ikabidi nirudi kwa sister na beg langu la nguo,nmekaa pale huku napiga show zangu mtaani,,siku moja nimekaa Na jamaa angu akaniambia sasa iv unapata ela usiende tena kupanga utapotea pambana ujenge,yaaan yule jamaa n kama vile alinipiga kofi ili kushtua akili yangu,nikaanza michakato Mungu sio DeepPond wala sio rikiboy bhana[emoji23][emoji23][emoji23] nikafanikiwa kupata kakiwanja kenye 15 kwa 12 nikaplan room kadhaa nikafanikiwa kumaliza now naishi gheto la kwangu sio la kupanga tena[emoji120][emoji120][emoji120]

Mara nyingi mama wa mtoto ananiulizaga u ajisikiaje ukiwa kwako namuambia nakushukuru sana wewe kwa sababu kama sio wewe ungekuta nimepanga bado,

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hii ya "kudunda duung" imenifanya nicheke kama vile ni mazuri.
 
Back
Top Bottom