Hamumu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 1,439
- 3,587
45000 nakumbuka hom walinunua hvoSh ngapi Hii Kaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
45000 nakumbuka hom walinunua hvoSh ngapi Hii Kaka
kuna za 40k mpka za 70k.. kkoo zipo nyingi tu, hapo unaweka bulb ya warm ile, taa ya kulalia hiyo..Sh ngapi Hii Kaka
Umerudi mjini?View attachment 2172840
Game time
Umerudi mjini?
Kwa zile kazi lazima ubakie kichwa [emoji23] huo ndio uanaume.Had nmekonda mywangu
Kwa zile kazi lazima ubakie kichwa [emoji23] huo ndio uanaume.
Pole!!
Wewe ni mwamba.[emoji109][emoji1666][emoji1666]Kuna Muda inabidi ukubali kushuka chini ili uanze upya......
Miezi 2 kabla sijamaliza chuo miaka kadhaa iliyopita, nilikaa nikawaza hatma yangu. Unajua kuna ile ukiwa chuo familia inajibana na kukupa kila unachohitaji kwa kadri ya uwezo wao ili tu uishi vizuri. Ndivyo ilivyokuwa kwangu mimi. Familia ilinisapoti kwenye swala la kodi na nilikuwa naishi vizuri sana maeneo ya Mwenge.
Sasa miezi 2 kabla sijamaliza chuo nikakaa nikawaza, hivi hapa nikimaliza chuo nirudi tena home?....Hapana haitawezekana. Niendelee kukaa mwenge?...Hapana sitaweza kumudu gharama za maisha ikizingatiwa kuwa sikutaka kusumbua familia kuhusu maswala ya kodi n.k....Wamenisapoti vya kutosha toka primary hadi chuo. Uamuzi uliokuwepo ni kupambana mwenyewe...
Baada ya kumaliza chuo nikakaa mwenge kama mwezi mmoja kumalizia kodi yangu ambayo gharama ya pale ilikuwa 150k kwa mwezi...Nikahama nikahamia river side ndani ndani huko chumba cha 20k kwa mwezi. Ilikuwa ni new experience kwangu ikizingatiwa nimetoka kuishi ushuani kwa miaka 2 mfululizo pale mwenge...getto kali, choo ndani na mazingira mazuri sasa leo naenda kukaa sehemu ambayo choo tunapanga foleni na uswahili wa kila aina...Kwakuwa nilishaweka nadhir kuwa sirudi kwa kipa hata iweje, ikabidi nikomae....
Pale riverside nililipia miezi 6 ambayo ni kama 120k hela niliyoipata kwenye kusave na kujibana kipindi niko chuo. Ila nilikaa pale miezi 3 tu. Kwasababu sikuwa na kazi yoyote ya kuniingizia kipato...nimepambana sana kusaka mishe za pale mtaani lakini bado hali ikawa tete...Kichwa kikawa kinawaka moto sasa hii kodi ikiisha naishije tena. Frankly speaking, nilikuwa kila nikiwaza miezi 6 ijayo sioni kitu....nilikuwa sioni future ila kitu pekee ambacho hakikuisha akilini mwangu ni Hope. Nilijua tu hii ni transition period na siku moja nitasimama.
Baada ya mishe zangu kukwama yaani kila siku natumia hela siingizi, nikaona pale mtaani hapanifai. Nikafunga safari hadi magomeni kwa uncle wangu mmoja. Hapo nauli ya kurudi home kwa bimkubwa ni 400 tu ila sikutaka hata kupasikia. Nirudi kufanya nini sasa? Kula bure huku nikitia huruma?....Hapana.
Nimefika kwa uncle nikamwambia mzee mimi kiukweli ngoma ngumu. Hapa nilipo nimetoka Riverside kule nimeacha vyombo vyangu na kodi ya miezi 3. Sikuwa nimehama riverside ila tu nilifunga mlango na kusepa magomeni. Kwahiyo vyombo vyangu vilikuwa bado kule na kodi yangu ya miezi 3.
Uongo dhambi, pale kwa uncle nilifata uhakika wa kula tu [emoji16][emoji16] manake kule riverside nilikuwa kila siku natumia hela sasa nikaona bora niende kwa uncle ambako nitakuwa na uhakika wa kula afu zile chenji ninazopata kwenye husstle zangu nazitunza.
Yes, dunia ikafunguka, nikajichanganya mtaani...piga sana kazi na fundi umeme site....somba sana maji magomeni kwenye mkokoteni kuwauzia wadau. Lengo lilikuwa moja ni kusepa kwa uncle.
Baada ya miezi 3 kuisha (means kodi yangu kule ya miezi 6 imekata), nikaenda riverside kuchukua tuvyombo twangu...nikaja nikatupaki kwa uncle...hapo nimapambana sana, weka akiba sana huku na huku, baada ya miezi 5 nikamuaga uncle...nikamwambia naenda kupanga....hapo sijasimama vizuri ila nikasema nitaweza. Na nilipanga pale pale magomeni jirani na uncle...hii ndiyo siku nilihama kwenye toroli a.k.a mkokoteni maana vyombo ni kitanda na godoro tu [emoji1][emoji1]
Nakumbuka nikalipia chumba cha 50k nikaanza kuishi...husstle zikaendelea, nikanunua tv, radio, sofa na vitu vingine muhimu...
Kufupisha story....Leo na jana ni tofauti. Mungu ni mwema maisha yangu ni ndoto za vijana wengine japo sijafika....na nimeweza kumiliki getto kali tena kama lile la mwenge.
NB: kuna muda inabidi tukubali kushuka chini kutokana na uhalisi wa maisha. Ila baada ya muda tukikaza tutarudi juu....
Heshima na upendo mwingi sana kwa uncle wangu wa magomeni....saluti nyingi sana kwa mafundi umeme na wateja wangu wote wa maji magomeni....Those people treated me fairly and am always grateful.
Baadae nilikuja kubahatika kupata ajira na maisha yakaendelea....Ila never lose hope....Confort zone ni adui wetu...I wish the best to everyone working hard to live their dream.....Alhamdullilah
FOHADI.......Focus, Hardwork and Discpline.
zipo za 40 - 75Sh ngapi Hii Kaka
Kuna Muda inabidi ukubali kushuka chini ili uanze upya......

Ni ndefu kidogo.
Uzi huu umenifanya nipange na nitoke kwa wazazi.
Niliuona uzi huu mwaka juzi mwaka 2020 kipindi cha Corona, nakumbuka nilikuwa broke sana na stress (anxiety disorder) kwa hiyo hata kufanya kazi nyumbani nilikuwa sifanyi. Yaani nilikuwa sina motivation ya kufanya chochote kile.
Siku moja tuliitwa vijana wote. Tuseme familia nzima. Nilisemwa sana mbele za watu na mzee kuwa mimi ni mvivu sifanyi chochote hata chumba changu nashindwa kufagia (which is not true).
Ile kitu ilinichukua sana. Kufokewa mbele ya wadogo zako na kuitwa mchafu sidhani ka ntakuja kusahau na tangu siku ile mission ilikuwa moja tu. Kuondoka nyumbani. Na sikutaka kumshirikisha yeyote. Nilitaka nifanye mwenyewe.
Ilinichukua muda kidogo kujipanga lakini alhamdulilah sasa hivi nipo kwangu. Nina mwezi sasa. Sijawahi kulala chini, nina uhuru wa kutosha na siombi chochote cha mtu kikubwa ni kuzidi kupambana tu maana ukiacha kusalimia sidhan ka ntarudi.
Sina lengo la kumpa presha yeyote na pengine ni mapema sana kusema hivi lakini kijana hasa wa kiume kuna umri ukifika ondoka kwenu. Maana ukikaa nyumbani kwanza utakuwa unawaza hela ndogo ndogo tu za kunnua mashati na suruali. Hutapata mwamko wa, kufanya zaidi.
Yes hakuna ubaya wa kukaa nyumbani haswaa kama kwenu haupewi hiyo presha lakini you never know wanaongelea nini at the back kuwa uko irresponsible n.k na pia kuna umri ukifika kaa peke yako kwanza jitafute.
Ili kuwa inspire wengine sidhani ka ntaposti geto langu humu ila nimeambatanisha na andiko langu la April 2020 la hapa JF ambalo nilisema kabisa kuwa ntaondoka nyumbani. God is Great!
Mkuu Walec nashukuru sana kwa kuanzisha uzi huu. Siku ingine nitakuja hapa kueleza zaidi.
View attachment 2125957
[emoji23][emoji23]Wale wenzangu na mimi ambao magheto yetu yapo kama msikitini tunacomment nakumbuka kuna siku panya aliingia ndani akawa anakimbia tu kama uwanja wa taifa hajui wapi pakujificha nilimpiga lungu mmoja
Ninachosema kweli tupu[emoji23][emoji23]
Nimekuwa inspired sana na huu uzi wa huyu jamaa. Hakika ni mfano wa kuigwa upande wa upambanaji na utafutaji. HONGERA SANA!Kufupisha story ni kwamba gari ile niliifanya uber kipindi hicho ndo uber imeanza hope nilizisha mapambano kwani nlikuwa nahakikisha nalaza laki kila siku ya mungu na wife wakati yupo na ujauzito mkubwa akaajiri mtu wa kusambaza vitu vyake kwa wateja huku na mimi nikisambaza vyangu kwa gari huku wakati mwengne nikimsambazia na yeye,mwisho wa siku nilifungua duka ambalo wife baada a kujifungua akawa ndo msimamizi na pia deni la mzee la 20k kila siku nililitimiza na mwisho wa siku gari ikawa yetu,nakumbuka siku ya harusi babamkwe akatupa kiwanja kwa ksema altupa mtihani wa kujinunulia wenyewe means ile hela tulokuwa tunampa kila siku aliitu za na kutununulia zawadi ya kiwanja huk nasi tukiwa na vingine vitatu hiyo ndo story yangu ya geto ambayo imenipa mke na nyumba ambayo naimalizia now,watoto wangu mapacha,pamoja na gari 3,maduka na biashara nyingine na kunifanya nisahau kuajiriwa japo nna degree yangu ya first class
Dah [emoji23][emoji23]Wale wenzangu na mimi ambao magheto yetu yapo kama msikitini tunacomment wapi ? nakumbuka kuna siku panya aliingia ndani akawa anakimbia tu kama uwanja wa taifa hajui wapi pakujificha nilimpiga lungu mmoja naona huwezi rudi tena ila hongereni kwa magheto mazuri wakuu
[emoji1787][emoji1787]Wale wenzangu na mimi ambao magheto yetu yapo kama msikitini tunacomment wapi ? nakumbuka kuna siku panya aliingia ndani akawa anakimbia tu kama uwanja wa taifa hajui wapi pakujificha nilimpiga lungu mmoja naona huwezi rudi tena ila hongereni kwa magheto mazuri wakuu
Juzi nmenunua QFL Godoro dodoma kutokana na ushauri wa Msure jaribu hilo.Wakuu niaje hivi ni godoro gani kali la nchi kumi nataka nikinunua niwe nimemalizana nalo sio baada miaka 2 nibadilishe naomba nisaidie godoro gani zuri linalodumu la nchi 10
Sent using Jamii Forums mobile app
Umechukua kwa pesa ngapi mzee na nchi ngapJuzi nmenunua QFL Godoro dodoma kutokana na ushauri wa Msure jaribu hilo.