Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Nilianza kwa Mkasa wa Ujauzito.

Nikaondoka home na Manzi akaja ghetto tulee Ujazo.

Tuliala Chini kama wiki hivi

Kisha likaja godoro kubwa kabisa QFL 6x6 inch ile ya mwisho ile tukawa juu juu. #UshambaMzigoSana

Vyombo vya kupikia in bulk vijaka then Dish la ... Then laptop then Sofa. Life ikasonga...

Within 8 months nikawa nina ujasiri wa kumkaribisha mgeni nyumbani.

Dogo akaja na Baraka zake.[emoji1431][emoji56]
 
Wale wenzangu na mimi ambao magheto yetu yapo kama msikitini tunacomment wapi ? nakumbuka kuna siku panya aliingia ndani akawa anakimbia tu kama uwanja wa taifa hajui wapi pakujificha nilimpiga lungu mmoja naona huwezi rudi tena ila hongereni kwa magheto mazuri wakuu
Alijutaa sanaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
@Political stability post: 42398704 said:
kwa budget ya laki moja, naweza kupata sabufa gani standard kwa ajili ya geto?
@Political stability vipo vya 80,000. Au nenda Facebook kwenye magroup ya biashara. Kila mkoa au mji una group la biashara humo unakutana na watu wanauza vitu vyao.
Haiyumkini unakutana na mwenye shida anasukuma woofer lake kwa Bei Chee. Ukiwa na hela mkononi unapata kitu unataka maana Kuna watu wanashida za ghafla.
Njia nyingine, tembelea ofisi za mikopo/microfinance.
 
Nilianza kwa Mkasa wa Ujauzito.

Nikaondoka home na Manzi akaja ghetto tulee Ujazo.

Tuliala Chini kama wiki hivi

Kisha likaja godoro kubwa kabisa QFL 6x6 inch ile ya mwisho ile tukawa juu juu. #UshambaMzigoSana

Vyombo vya kupikia in bulk vijaka then Dish la ... Then laptop then Sofa. Life ikasonga...

Within 8 months nikawa nina ujasiri wa kumkaribisha mgeni nyumbani.

Dogo akaja na Baraka zake.[emoji1431][emoji56]
Hongera sana mkuu
 
Mwezi june naanza kuishi gheto INSHAALlAH

IMG_20220428_113752.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo taa ulizoweka kwenye show case ndan zinaitwaje na zinauzwaje?

Zinapatikana kwenye maduka ya pikipik au magari
Kuhusu specific names sijajua ila me nlimwambia vitaa vya blue akanipa hivyo
Vipo vya aina 2 vingine ni kama mkanda hivi
Bei yake ni 5000 (Iringa)
 
Zinapatikana kwenye maduka ya pikipik au magari
Kuhusu specific names sijajua ila me nlimwambia vitaa vya blue akanipa hivyo
Vipo vya aina 2 vingine ni kama mkanda hivi
Bei yake ni 5000 (Iringa)
Vya mkanda navitafuta mie, nilipataga sehemu wanauza. Ila walikuwa na rangi mbaya ‘orange

Vinaitwa led strip lights
 
Back
Top Bottom