cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wale wenzangu na mimi ambao magheto yetu yapo kama msikitini tunacomment wapi ? nakumbuka kuna siku panya aliingia ndani akawa anakimbia tu kama uwanja wa taifa hajui wapi pakujificha nilimpiga lungu mmoja naona huwezi rudi tena ila hongereni kwa magheto mazuri wakuu