Ulianzaje kukaa gheto?

Hivi kuna mtu humu katumia au anatumia amazon alexa? Nataka nimuulize baadhi ya vitu
 
Wewe ni mwamba.[emoji109][emoji1666][emoji1666]
 

We jamaa fighter [emoji1478]
 

Umesema kweli kaka you never know what they talk behind your back
 
Wale wenzangu na mimi ambao magheto yetu yapo kama msikitini tunacomment wapi ? nakumbuka kuna siku panya aliingia ndani akawa anakimbia tu kama uwanja wa taifa hajui wapi pakujificha nilimpiga lungu mmoja naona huwezi rudi tena ila hongereni kwa magheto mazuri wakuu
 
Nimekuwa inspired sana na huu uzi wa huyu jamaa. Hakika ni mfano wa kuigwa upande wa upambanaji na utafutaji. HONGERA SANA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…