Ulianzaje kukaa gheto?

Pole sana bro. Eti unaamka uoumzike.
 
Hongera sana kaka usikute kama ungemkataa na mimba yake usingefanikiwa mapema au mazima. Mama na mtoto walikuja na malango ya baraka zako.
 
Wakuu niaje hivi ni godoro gani kali la nchi kumi nataka nikinunua niwe nimemalizana nalo sio baada miaka 2 nibadilishe naomba nisaidie godoro gani zuri linalodumu la nchi 10

Sent using Jamii Forums mobile app
Nunua TANFOAM fundi bishoo hutajutia.

Ile slogani yao ya Alinunua Babu Mpaka Mjuu Analitumia sio ya uongo.

Ukiweza piga simu kiwandani wakuelekeze wapi ukachukue kwa Bei na vigezo vyako.
 
Zinapatikana kwenye maduka ya pikipik au magari
Kuhusu specific names sijajua ila me nlimwambia vitaa vya blue akanipa hivyo
Vipo vya aina 2 vingine ni kama mkanda hivi
Bei yake ni 5000 (Iringa)
Poa poa
 
Hongera sana kaka usikute kama ungemkataa na mimba yake usingefanikiwa mapema au mazima. Mama na mtoto walikuja na malango ya baraka zako.
Kabisa aisee!!! Ila asikwambie mtu Mwanzo Mgumu sana. Aaf, ukizingatia unalala chini na Mtoto wa watu mjamzito wa kiumbe chako... Aisee unakua na Hasira na Maisha qmmk yaani unatafuta hela mpaka kieleweke ukirudi home kama sio wewe kumbe umepigika sana siku hiyo na kesho tena.

Mungu Mwema Sana; Kwenye Bidii ya kweli anabariki.[emoji1431][emoji56]
 
Zinatumia umeme direct kwa kuchomeka kwenye soketi, au ni unachomeka kwenye other devices mfano spika, au subwoofer?

Hapana hizi ni 12v dc
Umeme wa nyumbn ni 220v ac ukichomeka vinaungua
Lazima uwe na adapter uwashie
Kama zile za pc au za kisimbuzi cha azam zile
Ila lazima ziwe 12v
 
Kabisa unajikuta unaumia mara 2 unaumizwa na msoto na mtoto wa watu alivyolala chini huku ana kiumbe chako,wote wawili hawana makosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…