Ulianzaje kukaa gheto?

Hii njia inaweza kuwa nzuri

Kuna dogo angu Fulani kamaliza chuo mwaka Jana alikuwa anaishi geto na geto lilijaa kila kitu sasa shule imeisha mdingi yake kakomaa dogo arudi home hahaha

Kuna madingi wana mambo ya kidekteta uchwara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alimaanisha nini kula kwa mama lishe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani wengi tukiwa tupo chuo tunajisahau sana. Unapokuwa chuo mbali na masomo lakini pia anza kutengeneza connections.

Mimi binafsi nilianza kukaa ghetto mwaka wangu wa kwanza kabisa. Maeneo ya msewe karibia na changanyikeni. "Golani"

Niliweka nadhiri kwamba sitorudi nyumbani kuishi bali kutembelea wazazi. Katika kipindi cha chuo changu chote pesa za boom ama zile za mishe zangu nilikiwa nawekeza kupaendeleza ninapokaa ili nitakapomaliza chuo basi iwe sehemu ya kuishi.

Katika ule mji, mimi ndio nilikiwa kijana mdogo kabisa. Nilijiwekeza kidogo kidogo mpaka nakaribia kumaliza chuo nilikiwa na vitu vyoote muhimu vya kuanzia maisha. Kitanda..meza "office table", workstation, kabati la nguo.. hapo kwa upande wa bedroom. Wakati sitting room nilikuwa na Led flat, dstv, furniture n.k pia jikoni hivyo hivyo.

Mpaka namaliza chuo niliweza kuwa nimelipia nyumba kwa miezi sita zaidi ili kujipa muda wa kutafuta kazi bila pressure.

Mungu alisaidia maana baada ya final year presentation, ijumaa pale coet... j3 nikaanza kazi.. ikawa habari njema.

Ila kujiandaa inabidi kuwepo kuanzia pale unapofanya maamuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umepambana sana mkuu..hongera sana

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Uyo dingi pasuaa [emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Kweli mkuu..mipango huanza mapema sana

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Mimi kwakweli kuna kipind nltaka kusepa home kwa influence ya shemeji ynu....baadae nkaona ntakuja kuaibika maana dem alkuw anataka vikubwa mno....nkambwaga...!!nkaanza kuisimamia biashara yngu mpaka iliposimama stable....ndipo nkaamua kupanga sasa

Na nnaenjoy vbaya mno kila nkirud kwangu...kuna mda mpk nnasikitika kwa dharau na kejeli alizokuw ananipa shemj ynu

Dem anajua kabsaa nd kwanz nmemaliza chuo...sina kazi....na serikali nd haina habari...!!.halfu anakuuliza "Lini utakuwa na kwako p?"

Hapo ndo npojua kuwa natembea na chuma ulete moyoni...nkambwaga..na huwez amin mambo yngu...uwezo wangu wa kufikiria ulibadilika kuanzia siku ile

biashara nkaanza...ikasimama na nkaahmia geto

Maisha n kujipangA...just kwanza angalia vikwazo..kuna muda yabd utoe sadaka urafiki...undugu au mapenz ili uendelee mbele(kama vinakurudisha nyuma)

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hongera maisha ni kutafuta


Sent using Jamii Forums mobile app
 
UMETISHA MKUU, ni geto chache sana za wanaume huwa zinatandikwa vyema kiasi hiki..,..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…