Ulianzaje kukaa gheto?

Asee huyo dogo kaupiga mwingi sana mkuu [emoji119][emoji23]
 
Asee big up sana mkuu[emoji119][emoji119]
 
Kwaiyo mzee ukatokea na bet? Unyama sana mkuu [emoji119] ,heshima zimfkie muhindi [emoji23]
 

Hongera sana Mkuu,mapambano yaendelee.
 
We ni fala yani geto unaanza na sobu wufa wenzio tulianza na mkeka na sufuria moja,kikombe kimoja,kijiko kimoja,jiko moja la mchina kerosene,ndoo mbili tu.Hujakaa geto wewee sema ulikuwa unaishi maisha ya chuo.
 
Duuuh pole na hongera kwa mapambano yenye kheri,,

Mafundi bana,kuna injinia akitaka kujenga anasema anachogharamia yeye maji tu[emoji23][emoji23]
 
Wakuu mwisho wa mwezi huu natarajia kuvuta TV 32 inches na king'amuzi. Naombeni ushauri wenu juu ya brand nzuri za TV,katika king'amuzi nimeamua kununua Azam,pia nitanunua DSTV mwanzoni mwa mwezi kwasababu mimi ni mtu wa Football.
Dstv gharama mzee, tafuta hata Canal Sport ukishindwa nunua Tv Smart kisha simu yako kama ni Samsung au Infinix kisha unganisha ucheki mpira kupitia simu
 
Nakumbuka baada ya kumaliza Chuo sikurejea home tena kama makazi. Bali home ilibaki kwenda kusabah wazee nk nikalowea mtaani na room mate. Room mate huyu namuombea tu lkn nakumbuka yeye ndie wa kwanza kupata kibarua. Akawa anahudumia umeme,Kodi na maji kila mtu alinunua anapohitaji. Chakula akawa ananisaidia (wkt nikiwa alolo, nikawa siachi kuhangaika..)(namshukuru Sana mate). Wkt ule si kama wkt wa Sasa mnamaliza manakaaa Sana kitaa.

Basi siku moja nimetoka kwenye kuhangaika, nakuta kitanda na godoro jamaa kasepa, siku hiyo niliolala chini kwenye vibox vilivyokuweoo mule ndani, nikajilaza, kwa kuwa majirani tuliheshimiana sana, niliji alert kuhakikisha sipotezi muda, na Kwa kuwa nikipata kazi mkoa, nikipanda basi haraka, mkoani.

Siku moja nikirejea DSM nikiwa na Kodi yangu na kuhamia kwenye vyumba viwili vikivyopanga na dalali wangu(Mungu Amrehemu)maeneo ya sinza.
Baadae maisha yakaanza, nilirejea Jijini na kazi ilihamia mjini pia


Ila jamaa aliniacha bila kuniaga. Nilielewa tu hakuwa anapenda maisha ya KUPE. nakwakweli nilikuwa chawa😅😅 ilihitaji awe ndg w la damu Ili aweze kunivumilia
 
We ni fala yani geto unaanza na sobu wufa wenzio tulianza na mkeka na sufuria moja,kikombe kimoja,kijiko kimoja,jiko moja la mchina kerosene,ndoo mbili tu.Hujakaa geto wewee sema ulikuwa unaishi maisha ya chuo.
Kuna watu wanafurahisha kweli yaani hata kitanda au godoro hana ila ananunia sabufa[emoji2]au kabati la vyombo[emoji1787][emoji1787]
 
[emoji16][emoji16] daah umenikumbusha imenitokea tu mwezi wa 3 hapo mwaka huu GF wangu alikuja dar ila alifkia kwanza kwa aunt yake.Maana aliniambia anaitaji apajue

sikuzote huwa anakujaga halafu hawaonani na ndugu zake sasa kakaa almost wiki 2 kwa aunt yake target yake ilikuwa wiki mbili zijazo kukamikisha mwezi aje kumalizia kwangu.

Akaniambia anahitaji kuja ikabidi nimtose tu kuwa naenda kujengea kaburi la babu na mimi ndo mjukuu pekee nilioteuliwa kwenda kulijengea kaburi lake maana mfukoni sielewi kazini bado hayaeleweki bado izo wiki mbili ambazo angekuja kuzimalizia kuna yeye Kula,kutoka out,nauli yake mambo kibao.

Najua alimind sana tu sababu alivokuja tumeonana mara 3 tu,eid ya kwanza alinitext tu hangout nikampa kasababu yote kwa yote mda mwingine hawa dada zetu wanaona tunawakataa wanatufikiriaga vibaya ila mara nyingi hali zetu huwa mbaya mifukoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…