Ulianzaje kukaa gheto?

Kweli kabisa mkuu
 
Mkuu unaweza ukafunga ukutani na husione nyaya.
Toa maelekezo mkuu, kwa faida ya wote humu waliofunga tv zao ukutani/au wanaofikiria kununua tv then wazifunge ukutani.

Utakuwa umesaidia sana!
 
Wakaka

Pendeni mageto yenu,panga vitu vizuri sio unaishi chumba kama kwa fundi kushona nguo unaweka hovyo,vyombo hovyo vinavundiana na mauchafu,

Nyie ni wavivu kuosha vyombo,hivyo nawashauri msinunue vyombo vingi,nunua tu vya muhimu,,
 
Sasa si unamueleza tu ukweli,atajua yeye kusuka au kunyoa,

Sema kama ulimzoesha pesa,lazima uteseke na ukikaa vibaya wajuba watakusaidia.
 
Wakaka

Pendeni mageto yenu,panga vitu vizuri sio unaishi chumba kama kwa fundi kushona nguo unaweka hovyo,vyombo hovyo vinavundiana na mauchafu,

Nyie ni wavivu kuosha vyombo,hivyo nawashauri msinunue vyombo vingi,nunua tu vya muhimu,,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] store??
 
Wakaka

Pendeni mageto yenu,panga vitu vizuri sio unaishi chumba kama kwa fundi kushona nguo unaweka hovyo,vyombo hovyo vinavundiana na mauchafu,
c
Nyie ni wavivu kuosha vyombo,hivyo nawashauri msinunue vyombo vingi,nunua tu vya muhimu,,
Huwa nanunua takeaway tuu hii mambo ya kuosha vyombo mpaka Mama j awe karibu

Ila hii ishu ya vyombo kwa wanaume Nadhan ni Laana kutoka kwa mitumee😂😂😂😂😂
 
Toa maelekezo mkuu, kwa faida ya wote humu waliofunga tv zao ukutani/au wanaofikiria kununua tv then wazifunge ukutani.

Utakuwa umesaidia sana!
Ingia YouTube search Tv cable management,utaona jinsi ya kuficha nyaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…