Ulianzaje kukaa gheto?

Kama chumba chako kina tiles, bandua moja vizuri bila kuacha alama, halafu tengeneza space ya kufanya bank. Hakuna mwizi hapo labda umwonyeshe demu wako maana Kuna watu viherehere sana.
 
Dah[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimeiona nicomment tu mkuu mbona umekaza sana Toka mda hutaki tulete mademu ghetto
[emoji23][emoji23][emoji23]sipendi............,,wengine wanamabalaa kaka yangu[emoji16]

Unapo lala na kuamka kwenda kusaka tonge inatakiwa upaheshimu sana.

Room kwako ingiza yule ambaye utaoa tu.


Wengine vichochoro vipo.
 
Ukuyane na yote but si ya ki roho hii inakutafuna na utasema umelogwa,

Kuwa na mahusiano mengi wala si ujanja,
 
Kama chumba chako kina tiles, bandua moja vizuri bila kuacha alama, halafu tengeneza space ya kufanya bank. Hakuna mwizi hapo labda umwonyeshe demu wako maana Kuna watu viherehere sana.
Jamani unaanzaje kumuonyesha demu unapoweka pesa[emoji16]

Demu anaonyeshwa pahala inapokaa funguo.
 
Umeongea ukwel saving ni muhimu sana na saving nzuri niile unayo iweke kwenye vitu vinavyo ingiza pesa au vitakuja kupanda thaman uko mbeleleni mfano ardhi , kingine tuwe na saving ya mambo ya emergency mfano ugonjwa na kutokuwa na mishe kwa mda flan.

Sent from my Nokia G10 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…