Ulianzaje kukaa gheto?

Means unapikiwa sio

Au unakula kwenu
Sio kila anaecomment hapa anaishi gheto

Home tunaishi 3,

Kila mtu akitoka asubuhi kukutana usiku au nabaki mwenyewe labda aje mgeni nitapika,

sasa usiku ni kuchemsha chai tu chweeee,tukutane usiku wa pili,
 
Mkuu maeneo gani hayo ..na per mounth ni ngapi
 
Kingine wakuu.wale wanaoanza lyf ile mitanda mikubwa mikubwa ya barabarani mingi mibovu Sana hutoboi miez sita linaanza kunesea chini..so muwe makini Sana.
Zile ni mdf grade ya chini au pines
 
Kingine wakuu.wale wanaoanza lyf ile mitanda mikubwa mikubwa ya barabarani mingi mibovu Sana hutoboi miez sita linaanza kunesea chini..so muwe makini Sana.
Na ile vanish wanasiliba tope[emoji23],miezi tu tanda linatafunwa na mchwa,

Nilionaga pale buguruni maeneo ya spenco.
 
Wakuu vipi Hali.

Mimi Baada ya kumaliza chuo huku Dar nakupambana mtaani nikaona hamna mishe na hapo nilikuwa naishi geto maeneo ya makumbusho pale nikaona isiwe kesi nikarudisha Mpira kwa kipa (home Dar)

Ila kwa Sasa kuna issue nimepata maeneo ya Africana kule japo Kwa kuanzia napata kama 450,000 nawaza namna ya kukaa geto na hiyo hela namna ya kuipangilia maana vitu vyangu nilimpaga mtu, kwa hiyo naenda kuanza upya.

kwa maeneo ya kule Africana, Room ndio nafuatilia Bei yake, ili nirudi Tena mageto.

Napenda kupata ABC zozote kutoka kwenu na kama wenyeji wa hapo Africana nijue Bei za Vyumba.
 
Sema vitu uliuza au ilimpa demu,.
 
Sio kila anaecomment hapa anaishi gheto

Home tunaishi 3,

Kila mtu akitoka asubuhi kukutana usiku au nabaki mwenyewe labda aje mgeni nitapika,

sasa usiku ni kuchemsha chai tu chweeee,tukutane usiku wa pili,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] likizo hii nilienda home, aseeeeh nyumba nzima mie na dogo tyuuh, yaan nilipata tabuu, mara dogo akasepa Lindi kwa broh, nlibaki mwenyeweee sikuwa pikaaa hata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kingine wakuu.wale wanaoanza lyf ile mitanda mikubwa mikubwa ya barabarani mingi mibovu Sana hutoboi miez sita linaanza kunesea chini..so muwe makini Sana.
Ishanitokea hii.

Siku alipokuja shemeji yenu kibonge wakati wa harakati si kikashuka chini. Pwaaa!!

Yale mavitanda ya barabarani acheni navyo Bora vya chuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…