HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Aiseee.Sipiki mara nyingi, inshort naingia kwenye kundi la wasiopenda kupika tu.
Ila kupika najua
Sipiki sana sababu, siwezi toka kazini saa 11 karibu 12 nifike home niwaze kupika badala ya kupumzisha fuvu langu.
Afu kupika kwenyewe unapika chakula cha mtu mmoja, khaaa
Narudi na kitimoto au choma, nafika nasonga ugali nakula..
Siku nyingine nakula huko huko nikifika home ni kuoga kulala [emoji3577]
Nichoke kuzisaka doo
Na nichoshwe na vitu ndogo ndogo hivo
Nehiiii
Ila vyakula vingi vya kibiashara si visafi