Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Ahsante. Nilikitengeneza mwenyewe kwa ku Google. Nikakisafirisha hadi huku bush ila watu majirani wakawa wanshangaa ni nini hiki. Ila dadeki kuna work mate alikipenda tu kabla sijakipanga na kukihamishia hapa. Jumapili nimemtengeneza nae nimekula efu ishirini. Hakina mbwembe nyingi ila ukikipangilia ni hatari fire. View attachment 2442522 hapa ni wakati niko namtengenezea work mateView attachment 2442524 hiki hapa ndio nilikuwa natengeneza cha kwangu..
Kwahiyo kama cha 5/6 kinakuwa poa?
 
Hapana mkuu. Mimi huwa najiongeza tu kwa kucheki mtandaoni na kama unavyojua hakuna mwanaume anayeshindwa kushika nyundo na msumeno.
Ila kwa uhalisia mtu akiamua jifundisha hawezi toa gharama kubwa kununua bidhaa.
MDF zipo bei yake kawaida, mbao zipo, tena ukitaka wanakata kabisa.
Vifaa unakodisha ie compressor ya rangi
 
Mkuu size yoyote. Me godoro langu ni 4/6 so kama nikinunua godoro kubwa zaidi ni ninaongeza tu palletes maana ni unazipanga either kuongeza upana au urefu.
Nimependa,lkn napenda kitanda cha juu juu[emoji16], nikitaka kiwe juu kitapendeza kweli??
 
Ila kwa uhalisia mtu akiamua jifundisha hawezi toa gharama kubwa kununua bidhaa.
MDF zipo bei yake kawaida, mbao zipo, tena ukitaka wanakata kabisa.
Vifaa unakodisha ie compressor ya rangi
Sure mkuu. Mfano mimi hizo pallete bed mbao zake nimezipata bure kwa kuokota kweny kiwanda fulani. In short hizo mbao ni zilikuwa rejects
 
Huwezi jua pika afu ukawa wala vyakula vya wafanyabiashara.

HUJUI
Sipiki mara nyingi, inshort naingia kwenye kundi la wasiopenda kupika tu.

Ila kupika najua

Sipiki sana sababu, siwezi toka kazini saa 11 karibu 12 nifike home niwaze kupika badala ya kupumzisha fuvu langu.
Afu kupika kwenyewe unapika chakula cha mtu mmoja, khaaa

Narudi na kitimoto au choma, nafika nasonga ugali nakula..
Siku nyingine nakula huko huko nikifika home ni kuoga kulala ✌️

Nichoke kuzisaka doo
Na nichoshwe na vitu ndogo ndogo hivo
Nehiiii
 
Back
Top Bottom