Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kwa mamako panaruhusu endelea kubakia hapo. Kujitegemea sio sifa kama huna uhakika wa kipato.Jamani daaah ipo siku nami nitajitegemea tu[emoji1787]
Sio muda mwafaka mkuu, Kwanza jua unataka nini na kwa wakati gani, me pia nilianza kazi na mshahara kama wakoNimepata kamshahara ka 150k kwa mwez nawez chomoka home?? Ushauri wenu maana kuishi na ndugu ni mtiti wakuu.
Hongera,getho limetulia.Sio muda mwafaka mkuu, Kwanza jua unataka nini na kwa wakati gani, me pia nilianza kazi na mshahara kama wako
Na kipindi hicho nilikuwa natoka mbali sana ili kwenda kazini, kama ni mwenyeji wa Dar, Me nilikuwa naishi sehemu moja panaitwa Kisewe, kupita mbagala na unaingia Chamanzi, unatokea Mbande
ilikuwa inanilazimu kuamka sa 10:30 usiku kujiandaa na hadi sa 11:15 napanda daladala kwenda kariakoo, nilikuwa nafika mjini sa 12:30-12:45 na kuondoka sa 12:45 jioni na home kufika sa 4 usiku
Pamoja na kupata kazi ila sikuona kama ni muda sahihi wa kuondoka home, ilibidi nianze kwenda kuwekeza hela kwa muuza godoro, nilianza kuwekeza 70k ili ninunue godoro Dodoma QFL inch 10 ambalo Kwa kipindi hicho lilikuwa likiuzwa 220k
Kutokana na nauli kuwa ndani ya hiyo hiyo pesa ndomana nikaw naweka 70k na kiasi kingine nilikuwa nahemea vyakula pale home, baada ya miezi 3 nikawa nimemaliza kulipia godoro na mshahara wa mwezi wa 4 ndo nikaenda kutafuta chumba Kigogo
Nilianza na chumba cha 30k nikalipia miez 3 na kununua baadhi ya mahitaji, ndipo nikahama home na kwenda kujitegemea rasmi, kwahiyo kama home hakuna ugai gai we kaza tu ata miez 3 ili ujiandae kisha usepe
Baada ya hapo ndo nikaanza kuweka tena hela ya kununua kitanda na baadhi ya vitu mdogo mdogo huku nikiendelea kulalia maandazi na marage ya kuomba hati punguzo ili nipate Kwa nusu bei
At least saizi Mambo sio mabaya sana maana naishi kwenye kanyumba kenye unafuu wa muonekano na ata ndani sio haba sana, mtu akija home hawezi kujua kama nilikuwa sina ata 200 ya kulipia huduma ya Choo pale kariakoo
Ukisema uondoke na hiyo 150k utaambulia chumba tu na kagodoro Ka hovyo alafu itakulazimu kuja kununua tena godoro lingine zuri kwahiyo utakuwa umeongeza gharama ambazo sio za ulazima na usiombe hicho kibarua kikaota nyasi mwezi wa 2 tu alafu uwe umesepa home mapema
Kama hapo ulipo sasa kero zilizopo au shida zilizopo zinavumilika basi we jipe Malengo na uishi malengo yako ili baada ya Muda uliojiwekea uwe umetimiza na kuendelea na mambo mengine ambayo View attachment 2469212
Shukrani Mkuu.Hongera,getho limetulia.
I see Hisense as ur fav brand eeheeeSio muda mwafaka mkuu, Kwanza jua unataka nini na kwa wakati gani, me pia nilianza kazi na mshahara kama wako

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mkombozi wa WanyongeI see Hisense as ur fav brand eeheee
Haha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mkombozi wa Wanyonge
Mzee umepambana na mm natumia formular yako ila mm natak ninunue kila kitu.Sio muda mwafaka mkuu, Kwanza jua unataka nini na kwa wakati gani, me pia nilianza kazi na mshahara kama wako
Na kipindi hicho nilikuwa natoka mbali sana ili kwenda kazini, kama ni mwenyeji wa Dar, Me nilikuwa naishi sehemu moja panaitwa Kisewe, kupita mbagala na unaingia Chamanzi, unatokea Mbande
ilikuwa inanilazimu kuamka sa 10:30 usiku kujiandaa na hadi sa 11:15 napanda daladala kwenda kariakoo, nilikuwa nafika mjini sa 12:30-12:45 na kuondoka sa 12:45 jioni na home kufika sa 4 usiku
Pamoja na kupata kazi ila sikuona kama ni muda sahihi wa kuondoka home, ilibidi nianze kwenda kuwekeza hela kwa muuza godoro, nilianza kuwekeza 70k ili ninunue godoro Dodoma QFL inch 10 ambalo Kwa kipindi hicho lilikuwa likiuzwa 220k
Kutokana na nauli kuwa ndani ya hiyo hiyo pesa ndomana nikaw naweka 70k na kiasi kingine nilikuwa nahemea vyakula pale home, baada ya miezi 3 nikawa nimemaliza kulipia godoro na mshahara wa mwezi wa 4 ndo nikaenda kutafuta chumba Kigogo
Nilianza na chumba cha 30k nikalipia miez 3 na kununua baadhi ya mahitaji, ndipo nikahama home na kwenda kujitegemea rasmi, kwahiyo kama home hakuna ugai gai we kaza tu ata miez 3 ili ujiandae kisha usepe
Baada ya hapo ndo nikaanza kuweka tena hela ya kununua kitanda na baadhi ya vitu mdogo mdogo huku nikiendelea kulalia maandazi na marage ya kuomba hati punguzo ili nipate Kwa nusu bei
At least saizi Mambo sio mabaya sana maana naishi kwenye kanyumba kenye unafuu wa muonekano na ata ndani sio haba sana, mtu akija home hawezi kujua kama nilikuwa sina ata 200 ya kulipia huduma ya Choo pale kariakoo
Ukisema uondoke na hiyo 150k utaambulia chumba tu na kagodoro Ka hovyo alafu itakulazimu kuja kununua tena godoro lingine zuri kwahiyo utakuwa umeongeza gharama ambazo sio za ulazima na usiombe hicho kibarua kikaota nyasi mwezi wa 2 tu alafu uwe umesepa home mapema
Kama hapo ulipo sasa kero zilizopo au shida zilizopo zinavumilika basi we jipe Malengo na uishi malengo yako ili baada ya Muda uliojiwekea uwe umetimiza na kuendelea na mambo mengine ambayo View attachment 2469212
Inch ngap?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mkombozi wa Wanyonge
Hiyo formula nzuri mkuu, kama home hakuna shida bora ujiwekeze tu kila kitu na siku ukihama unakuwa full packageMzee umepambana na mm natumia formular yako ila mm natak ninunue kila kitu.
55" tu mkuuInch ngap?
Hapana bana, Mr UK ni kweli aliwahi kuwa mkombozi ila muda wake wa ukombozi ushapita. saizi tumeamua kukombolewa na Hisense [emoji16]Haha
Wanyonge tuna kina Mr Uk
Nyie size ya kati bana
[emoji106] safi sana Kwa kuweka malengo na nia bila kukata tamaa.Sio muda mwafaka mkuu, Kwanza jua unataka nini na kwa wakati gani, me pia nilianza kazi na mshahara kama wako
Na kipindi hicho nilikuwa natoka mbali sana ili kwenda kazini, kama ni mwenyeji wa Dar, Me nilikuwa naishi sehemu moja panaitwa Kisewe, kupita mbagala na unaingia Chamanzi, unatokea Mbande
ilikuwa inanilazimu kuamka sa 10:30 usiku kujiandaa na hadi sa 11:15 napanda daladala kwenda kariakoo, nilikuwa nafika mjini sa 12:30-12:45 na kuondoka sa 12:45 jioni na home kufika sa 4 usiku
Pamoja na kupata kazi ila sikuona kama ni muda sahihi wa kuondoka home, ilibidi nianze kwenda kuwekeza hela kwa muuza godoro, nilianza kuwekeza 70k ili ninunue godoro Dodoma QFL inch 10 ambalo Kwa kipindi hicho lilikuwa likiuzwa 220k
Kutokana na nauli kuwa ndani ya hiyo hiyo pesa ndomana nikaw naweka 70k na kiasi kingine nilikuwa nahemea vyakula pale home, baada ya miezi 3 nikawa nimemaliza kulipia godoro na mshahara wa mwezi wa 4 ndo nikaenda kutafuta chumba Kigogo
Nilianza na chumba cha 30k nikalipia miez 3 na kununua baadhi ya mahitaji, ndipo nikahama home na kwenda kujitegemea rasmi, kwahiyo kama home hakuna ugai gai we kaza tu ata miez 3 ili ujiandae kisha usepe
Baada ya hapo ndo nikaanza kuweka tena hela ya kununua kitanda na baadhi ya vitu mdogo mdogo huku nikiendelea kulalia maandazi na marage ya kuomba hati punguzo ili nipate Kwa nusu bei
At least saizi Mambo sio mabaya sana maana naishi kwenye kanyumba kenye unafuu wa muonekano na ata ndani sio haba sana, mtu akija home hawezi kujua kama nilikuwa sina ata 200 ya kulipia huduma ya Choo pale kariakoo
Ukisema uondoke na hiyo 150k utaambulia chumba tu na kagodoro Ka hovyo alafu itakulazimu kuja kununua tena godoro lingine zuri kwahiyo utakuwa umeongeza gharama ambazo sio za ulazima na usiombe hicho kibarua kikaota nyasi mwezi wa 2 tu alafu uwe umesepa home mapema
Kama hapo ulipo sasa kero zilizopo au shida zilizopo zinavumilika basi we jipe Malengo na uishi malengo yako ili baada ya Muda uliojiwekea uwe umetimiza na kuendelea na mambo mengine ambayo View attachment 2469212
M napenda kuwa na fridge ndogo kama iyo yako siku moja ,Bei yake inaenda kias gan na uimara wake na kampuni ipi nzuri.Sio muda mwafaka mkuu, Kwanza jua unataka nini na kwa wakati gani, me pia nilianza kazi na mshahara kama wako
Na kipindi hicho nilikuwa natoka mbali sana ili kwenda kazini, kama ni mwenyeji wa Dar, Me nilikuwa naishi sehemu moja panaitwa Kisewe, kupita mbagala na unaingia Chamanzi, unatokea Mbande
ilikuwa inanilazimu kuamka sa 10:30 usiku kujiandaa na hadi sa 11:15 napanda daladala kwenda kariakoo, nilikuwa nafika mjini sa 12:30-12:45 na kuondoka sa 12:45 jioni na home kufika sa 4 usiku
Pamoja na kupata kazi ila sikuona kama ni muda sahihi wa kuondoka home, ilibidi nianze kwenda kuwekeza hela kwa muuza godoro, nilianza kuwekeza 70k ili ninunue godoro Dodoma QFL inch 10 ambalo Kwa kipindi hicho lilikuwa likiuzwa 220k
Kutokana na nauli kuwa ndani ya hiyo hiyo pesa ndomana nikaw naweka 70k na kiasi kingine nilikuwa nahemea vyakula pale home, baada ya miezi 3 nikawa nimemaliza kulipia godoro na mshahara wa mwezi wa 4 ndo nikaenda kutafuta chumba Kigogo
Nilianza na chumba cha 30k nikalipia miez 3 na kununua baadhi ya mahitaji, ndipo nikahama home na kwenda kujitegemea rasmi, kwahiyo kama home hakuna ugai gai we kaza tu ata miez 3 ili ujiandae kisha usepe
Baada ya hapo ndo nikaanza kuweka tena hela ya kununua kitanda na baadhi ya vitu mdogo mdogo huku nikiendelea kulalia maandazi na marage ya kuomba hati punguzo ili nipate Kwa nusu bei
At least saizi Mambo sio mabaya sana maana naishi kwenye kanyumba kenye unafuu wa muonekano na ata ndani sio haba sana, mtu akija home hawezi kujua kama nilikuwa sina ata 200 ya kulipia huduma ya Choo pale kariakoo
Ukisema uondoke na hiyo 150k utaambulia chumba tu na kagodoro Ka hovyo alafu itakulazimu kuja kununua tena godoro lingine zuri kwahiyo utakuwa umeongeza gharama ambazo sio za ulazima na usiombe hicho kibarua kikaota nyasi mwezi wa 2 tu alafu uwe umesepa home mapema
Kama hapo ulipo sasa kero zilizopo au shida zilizopo zinavumilika basi we jipe Malengo na uishi malengo yako ili baada ya Muda uliojiwekea uwe umetimiza na kuendelea na mambo mengine ambayo View attachment 2469212
Hongera mkuuSio muda mwafaka mkuu, Kwanza jua unataka nini na kwa wakati gani, me pia nilianza kazi na mshahara kama wako

Shukrani Mkuu.Hongera mkuu