Ulianzaje kukaa gheto?

[emoji23][emoji23] aweeee

Kinabowaaaa
Nimeanzia nacho maisha 2020
2022 nimekiondoa
Na nilikimix na miguu ya mbao lkn with a time nilikichoka tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie cha chuma mwanzoni nilianzaa nacho, baadae kunaa papah m1 aliwahi kuja room kwangu ndo akasema sio kizuri cha chuma, ndo akanisaidia kubadilishaa.

Kilitengenezwa mkoani kwetu afu kilisafirishwaa kuja Dar.
 
Asaaaaaaanteeeeeh!
 
Ndio hivo mkuu hizi mbao za Dar wanatupiga sana, hao wadudu wakianza Kula Mbao ule muda ambao umejituliza unaongea na halmashauri yako ya Akili wanakela sana

Pamoja na hao wadudu wala mbao mkuu, ila una gheto la kibabe Sana [emoji119]

Asante sana mkuu [emoji1545]
 
Hivi wenzangu mnalalia vitanda? [emoji1][emoji1] Mi nashindwa kwa kweli, mwaka wa pili sasa natimiza tangu nichomoke home, sijawahi kiwaza, wala kununua kitanda, nimeweka pallets, na zipo stable mpaka leo, by the way, sipendi vitanda vya juu
 
Mkuu Kutokupenda kwako kulalia kitanda hakufanyi ushangae wanaolalia as if ni ajabu, ata huko kwenu ulipokuwa unaishi umeacha ndugu zako wanalalia vitanda na inawezekana nawewe ulikuwa mmoja wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…