cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie cha chuma mwanzoni nilianzaa nacho, baadae kunaa papah m1 aliwahi kuja room kwangu ndo akasema sio kizuri cha chuma, ndo akanisaidia kubadilishaa.[emoji23][emoji23] aweeee
Kinabowaaaa
Nimeanzia nacho maisha 2020
2022 nimekiondoa
Na nilikimix na miguu ya mbao lkn with a time nilikichoka tu
Kilitengenezwa mkoani kwetu afu kilisafirishwaa kuja Dar.