Ulianzaje kukaa gheto?

Komaa sasa me uwa nafua mwenyewe kama sina hela na kama sina nguo nyingi chafu lakin upande wa shuka majirani tu wanadeal nazo.
Chonde chonde. Nina mifano hai inayopimua. Nyie kama ni wasomi (na ninajua ni wasomi.) Msije kuishia kuwa wapuuzi kwa watu mnaowaona hawana elimu.

Hawa wadada wanaojidai wana hali ngumu kimaisha huwa washenzi sana. Kuna jiran yangu ni mtumish wa serikali anafuliwa na kupikiwa na wadada wa kimakonde wamezaa wanaishi kwao. Sasa steve mwaka jana akataka kuoa maana pesa anayo. Ohooo.

Inaonekana hao wa kitaa walala hoi walimlengesha mke mtarajiwa kwamba steve anachepuka akaja mfumania story ikaisha ili waendelee kumfulia kumpikia na kumwibia. Ila kumshawishi awaoe imeshindikana hata kwa ndumba.

Yan inafika mahala mpaka unaona kweli duniani hakuna mjinga wala mjanja.

Anawaachia funguo wanaangalia Tv kwenye makoch na watt zao. Yan sijui kwa kweli. Hilo geto ni chumba na sebule wanalipa 150k kwa mwezi. Mwaka jana alikuwa ananunua sanduku za kutosha za bia. Analewaaa. Na washkaji na wao wakiangalia mpira akazidisha akaenda nyumbani. Akarudi naona halewi tena.

Chungeni hao walala hoi wanaojipiishia huko mtaani kuwapa nguo sensitive wawafulie na kuwapikia. Manaweza geuka misukule yao pasipo kujua.
 
Asante kwa ushauri kaka ila me nina watu wawil tu naowapa wanifulie alaf suala la kupikiwa me ata dem wangu akija ghetto siruhusu anipikie maana uwa simwamini mtu tangu aniforce nipeleke barua kwao.
 
Asante kwa ushauri kaka ila me nina watu wawil tu naowapa wanifulie alaf suala la kupikiwa me ata dem wangu akija ghetto siruhusu anipikie maana uwa simwamini mtu tangu aniforce nipeleke barua kwao.
Aise upo kama mimi...manzi yeyote akija gheto mm ndio nazama jikoni mwenywe ..mwanaume hajisifiii kupika ila huwa tukimaliza kula utasikia mmmh chakula kitamu upo vzuri nammwambia sio kupika tu
 
Sio kama sitaki lakin nikimwambia tukafanye full body check up ananizungusha na mimi naona hayupo tayari acha nimchezee tu. Maana siwezi mpelekea barua wakati hakiwa hayupo tayari
Checkup wakat unaendelea kula vitu unataka ukachek nn??
 
Wanataka company tu kwako mfue wote,,,,,,,kuishi nyumbe yenye yaidi ya watu wawili ni keroo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…