Ulianzaje kukaa gheto?

Asante kwa ushauri kaka ila me nina watu wawil tu naowapa wanifulie alaf suala la kupikiwa me ata dem wangu akija ghetto siruhusu anipikie maana uwa simwamini mtu tangu aniforce nipeleke barua kwao.
🤣🤣🤣🤣 Kha jamani mbona tunawindwa sana na wanawake....ndoa imekua shida alafu kuna kamrembo huku jf mawardat eti hakataki kuwa mke wa pili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…