Hilo pipe likiziba amini lipo jingine la kukupa riziki. Kabla ya hiyo kazi lazima kuna kazi ulikua unafanya,so amini kwamba utapata nyingine kama hilo pipe likiziba.Wanangu wa gheto! Mimi nimepoteza dira ya maisha tayari
Nimepata ajali ya bajaj.
Bajaj yenyewe ilikuwa ya mkopo ina bima kubwa nimelipa hela miezi sita tu
Sasa sijui kama ikipona ntapewa au mkataba wangu utaishia hapo.
Pia, mwanaume hapotezi dira,ila dira ndio inapotea yenyewe. So,kamata dira nyingine inayopita pita mbele yako,tembea nayo.[emoji109][emoji109]Ukianguka inuka Kaka,usilale ukisikilizia maumivu, maumivu huwa ni makali kama utayapa attention,yapuuzie. Vurugwa haswaa Mzee.Wanangu wa gheto! Mimi nimepoteza dira ya maisha tayari
Nimepata ajali ya bajaj.
Bajaj yenyewe ilikuwa ya mkopo ina bima kubwa nimelipa hela miezi sita tu
Sasa sijui kama ikipona ntapewa au mkataba wangu utaishia hapo.
Mashamba ya chai huko,au sio?niko kijiji fulani. nimepata geto la elfu 30 kwa mwezi. Nyumba ni zile mijengo ya kizamani. vyumba viwili.
-ni self
-kina boiler kama nyumba zile za wazungu
-chumba cha kulala ni kikubwa ni kikubwa naweza weka pia seti ya sofa na kisijae.
😂😂 hebu tuone tukusahisheNahis ni kipaji kulangilia mi kila nikipanga naona bado vimekaa vibay
Daaah nakubali kakaPia, mwanaume hapotezi dira,ila dira ndio inapotea yenyewe. So,kamata dira nyingine inayopita pita mbele yako,tembea nayo.[emoji109][emoji109]Ukianguka inuka Kaka,usilale ukisikilizia maumivu, maumivu huwa ni makali kama utayapa attention,yapuuzie. Vurugwa haswaa Mzee.
Keep fighting [emoji109][emoji109]
ndiyo mzeeMashamba ya chai huko,au sio?
Inch 65 zote hizo unataka kufungua banda la mpira au(jokes)Mambo vipi wakuu! Kwa Bajeti ya 1.2ml naweza kupata Hisense TV ya inch 65? nlikuwa nayo ya inch 49 nataka kuuza ninunue 65
Inch 65 zote hizo unataka kufungua banda la mpira au(jokes)
Kwa budget yako utapata inch 55 au ikizidi sana inch 58
Inch 65 inacheza kwenye 1.8m
Dogo naskia kashaacha chuo kila kitu anaona chenga akijaribu kuomba msaada kwa watu ndo kama vile anapigwa ambush[emoji28]Kama mwenzetu anaishi kwenye mansion[emoji23]
Vipi yule mdogo wako anaendeleaje na masomo[emoji23][emoji23]
NjemaCool Kelph. Za wewe?
Miss you too.
Ah good night sahivi?Njema
Good night mama.
Dogo naskia kashaacha chuo kila kitu anaona chenga akijaribu kuomba msaada kwa watu ndo kama vile anapigwa ambush[emoji28]
Kazi si wamemwambia akapige debe au umesahau [emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kijijini wazee hawatamuelewa
Hakuna kikazi umpatie siunajua mji mgumu huu
Leo kuna game ya uefa kumbe duhAh good night sahivi?
Me kumekucha, mpaka UEFA kijulikane.
Kazi si wamemwambia akapige debe au umesahau [emoji28]
Napoli vs Ac MilanLeo kuna game ya uefa kumbe duh
Dah dogo atajinyonga kwa style hii[emoji23][emoji23][emoji119]Kama vya darasani hawezi kushika majina ya vituo kuanzia kivukoni mpaka gongo la mboto atakumbuka[emoji23]