kocha Nabi
JF-Expert Member
- Feb 1, 2022
- 709
- 1,881
Apia? ππDah hatari,nililinunua godoro mwezi wa 10 inch 8' et sahivi nadumbukia katkat roho inaniuma basi tu
Bora umekuja depal..changamsha uzi kwa picha ππ½Apia? ππ
Walikuibia.. ni kampuni gani?
Bwana ni mwema sana kaka tuendelee kumuaminikweli mkuu mi ni muumini sana wa imani.
πBwana ni mwema sana kaka tuendelee kumuamini
Safiii tunasubiri nyingineππ njoo kwanza tupike View attachment 2670201
Dah fridge halikaukiπ₯π₯ππ njoo kwanza tupike View attachment 2670201
Tangu nizaliwe sijawahi fanya scrubNjoo nikuscrub uso View attachment 2670209
Kwanini πTangu nizaliwe sijawahi fanya scrub
Hahaha kama unanijua vile...Kwanini π
Au uko na babe face naturally
Hyo buku mbona kama haina kaziNjoo nikuscrub uso
View attachment 2670214
π€£π€£π€£Hyo buku mbona kama haina kazi
Kwanini? Si utajizeesha mapema ππHahaha kama unanijua vile...
sema muda mwingi sura inakua serious na ndita kama nimekunywa mwarobaini
ππ chukuaHyo buku mbona kama haina kazi
Yah nishaharibika imekua kama tabia nilianza kumuiga mzee wangu nilipokua form 2 ...Kwanini? Si utajizeesha mapema ππ
Paji la uso litaweka parmanently ile mistari ya ndita
Npo hapa naiviziaππ chukua
Uwii em acha ππYah nishaharibika imekua kama tabia nilianza kumuiga mzee wangu nilipokua form 2 ...
Siwezi kwenda aise .Uwii em acha ππ
Fanya scrub itatoka π
Linaitwa Banco n hatari tupuAina gan godoro lako?