mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 23,965
- 131,949
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukute wanalala chini, sasa nani atakubali kupiga picha ghetto kama hilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukute wanalala chini, sasa nani atakubali kupiga picha ghetto kama hilo
Ukute wanalala chini, sasa nani atakubali kupiga picha ghetto kama hilo
[emoji23][emoji23]Kuna wengine magodoro yao wamebonyea katikati, akiwa anaamka utadhani anatoka ndani ya mtumbwi
Dah rasmi nimerudisha mpira kwa kipa[emoji2357] sema sio suala ngj nikajipange upya
Nimependa picha ya katiView attachment 2650862
Taratbu tunapendezesha gheto
Nimependa picha ya kati
[emoji23][emoji23]Kuna wengine magodoro yao wamebonyea katikati, akiwa anaamka utadhani anatoka ndani ya mtumbwi
Dah hatari,nililinunua godoro mwezi wa 10 inch 8' et sahivi nadumbukia katkat roho inaniuma basi tuKuna wengine magodoro yao wamebonyea katikati, akiwa anaamka utadhani anatoka ndani ya mtumbwi
Hii nzuri, picha hzo bei ganView attachment 2650862
Taratbu tunapendezesha gheto
HongeraDah rasmi nimerudisha mpira kwa kipa[emoji2357] sema sio suala ngj nikajipange upya
Aina gan godoro lako?Dah hatari,nililinunua godoro mwezi wa 10 inch 8' et sahivi nadumbukia katkat roho inaniuma basi tu
Unauza?Aina gan godoro lako?
Hizo size yake ni A2+..zikiwa tatu jumla ni 50kHii nzuri, picha hzo bei gan
Sorry mkuu nimechanganya na zingine ..hizo hapo juuHizo size yake ni A2+..zikiwa tatu jumla ni 50k
Wenye mageto mazuri pigine picha tuyaone.
View attachment 2670174naona biblia hapo juu 👏🏿👏🏿👏🏿