Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Daaah jamaa namkubali sana anajua aseeee
[emoji16]wanaijeria wachawi kila ingizo jipya linakuwa la moto sio poa check list yao ya kiume kwa niwajuao mimi wote wamoto haoooo...
Davido
Psquire
2face
Wizkid
Burnaboy
Patoranking
Olamide
Kizz Daniel
Rema
Ruger
Asake
Oma lay
Ckay
Ycee
Dbanj
Falz
Joeboy
Timaya
Adekunle
Ladipoe
Spinall
Spyro
Mr Eaz
Zlatan
Dapo Tuburma
 
Ewaaa hujasahau hata mmoja hapo mkuuu
 
Ewaaa hujasahau hata mmoja hapo mkuuu
Kibongobongo ukimtoa Mondi,Rayvany, Konde na Alikiba(kidoooooogo) waliobaki wote hawaimbi nyimbo za ushindani utaisikia mara Mungu baba tusamehe tumekuuuuja,bia tamu,watakubali n.k ngoma ambazo tunasikiliza gheto wakati wa kufanya dhambi na zinaishia ukuuku maghetton hazifiki popote.

Hao juu Nigeria kila mmoja nina ngoma yake ata moja na zote moto..
 
Wanaija ni moto sana wapo very creative kwenye kila kitu
 
[emoji16]wanaijeria wachawi kila ingizo jipya linakuwa la moto sio poa check list yao ya kiume kwa niwajuao mimi wote wamoto haoooo...
Davido
Psquire
2face
Wizkid
Burnaboy
Patoranking
Olamide
Kizz Daniel
Rema
Ruger
Asake
Oma lay
Ckay
Ycee
Dbanj
Falz
Joeboy
Timaya
Adekunle
Ladipoe
Spinall
Spyro
Mr Eaz
Zlatan
Dapo Tuburma

Patoranking

Hivi vichwa sijawahi kuvipinga kabsa hasa uyo baddo sneh namuelewa sana ila sa hv kawa kama god father haimbi sana kawaachia vijana
 
[emoji16]wanaijeria wachawi kila ingizo jipya linakuwa la moto sio poa check list yao ya kiume kwa niwajuao mimi wote wamoto haoooo...
Davido
Psquire
2face
Wizkid
Burnaboy
Patoranking
Olamide
Kizz Daniel
Rema
Ruger
Asake
Oma lay
Ckay
Ycee
Dbanj
Falz
Joeboy
Timaya
Adekunle
Ladipoe
Spinall
Spyro
Mr Eaz
Zlatan
Dapo Tuburma

Phyno umemsahau
 
Habari zenu Wakuu. Leo nimetimiza miezi sita toka nimepanga picha namba Moja ni siku mojaa baada ya kupanga na picha namba mbili Hadi nne ni miezi sita baada ya kupanga
Mwisho tusikate tamaa tuzidi kumuomba Mungu sio lahisi lakini inawezekana
Asanteni sawa kwa kunitia moyo [emoji119][emoji119]View attachment 2606926View attachment 2606927View attachment 2606928View attachment 2606929

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app

Dah umepiga hatua Mkuu [emoji123]
 
[emoji16][emoji16][emoji16]Unaonekana mshari mshari kama sio mkurya basi muha au msukuma [emoji16]
[emoji23][emoji23]hamna bhana ni katika kuuliza tu sio mkewe alaf jamaa ni mshkaji wangu kiasi na hamind wala nini na hata hvyo uyo mlimbwende sio kama namuita kila mara hapana ni baadhi ya muda tu tena kimasikhara jamaa akiwepo utasikia namuita "mrembo wa nyumba hii"

Jamaa wake mwenyewe kiwembe alaf me simuiti kama namtaka me nina dem wangu.
 
Back
Top Bottom