Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Habari zenu Wakuu. Leo nimetimiza miezi sita toka nimepanga picha namba Moja ni siku mojaa baada ya kupanga na picha namba mbili Hadi nne ni miezi sita baada ya kupanga
Mwisho tusikate tamaa tuzidi kumuomba Mungu sio lahisi lakini inawezekana
Asanteni sawa kwa kunitia moyo [emoji119][emoji119]View attachment 2606926View attachment 2606927View attachment 2606928View attachment 2606929

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Chumba kikubwa mkuu ila hongera me niko mbion nanunua vitu taratibu.
 
Usipende sana kutumia mayonnaise ina preservatives nyingi mno hivo kuongeza probabilities za kupata cancer,,kiufupi vyakula vya makopo makopo Ni hatari Sana ndio maana wazungu wanateseka Sana na cancer kisa hivi vitu vya kusindika
Ahsante. Thoe situmii mara kwa mara.
 
JINSI YA KUPASHA KIPORO CHA WALI.

Katoka harakati za kupunguza bajeti na kuwa utu na chakula basi ni vyema pia kuzingatia kutunza chakula Kwa matumizi ya baadae au siku kadhaa.

Binafsi nilikuja kujaribu mbinu ya KUPASha KIPORo Cha wali Hadi kikalika vzr kama wali uliotokwa kupikwa muda so mrefu.

Mbinu hii nimeweza kujaribu Kwa kutumia jiko la gas.
Hatua za kufuata.;
1. Washa gas Yako huku ukiweka moto kidogo sana.

2. Injika sufuria lenye wali wako motoni. Weka maji kidogo Kwa kunyunyizia lisha Anza kuugeuza taratibu kama dk 2.

3. Tengeneza shimo katikati ya wali had surufia lionekane Kisha weka maji kiasi. Kisha rudiashia wali kufunika shimo Hilo.
Punguza kiasi Cha moto kwenda kuw mdogo kbsa. Lengo la kuweka maji ni kuwa maji yatachemka kutengeneza mvuke ambao utapasha joto wali wote hasa wa juu ya sufuria.

4. Kama una mboga yoyote weka juu ya wali halafu funika KIPORo hicho.
5. Baadae ya muda Fulani toa sufuria jikon . Ubwabwa mpya tayari na unakuwa sio KIPORo tena.

Getho hoyeee
 
Hii nzuri, hakuna kutupa chakula.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom