fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
Hahahahhha unaweza kumuita kimasikhara hv afu demu akajaa😁😁[emoji23][emoji23]hamna bhana ni katika kuuliza tu sio mkewe alaf jamaa ni mshkaji wangu kiasi na hamind wala nini na hata hvyo uyo mlimbwende sio kama namuita kila mara hapana ni baadhi ya muda tu tena kimasikhara jamaa akiwepo utasikia namuita "mrembo wa nyumba hii"
Jamaa wake mwenyewe kiwembe alaf me simuiti kama namtaka me nina dem wangu.