Ulianzaje kukaa gheto?

Wakuu naomba msaada wa Vitanda vikali ni aina gani na Imara iwe 5'6
Mkiweka hata picha sio.mbaya na bei

Niliko ni Singida ila naweza hata agiza kama itawezekana shukrani!!!
 
Mi mwenyewe nililahumugu sana kurudi home baada ya kumaliza chuo sijui Kwa Nini nilifanyaga Ile mistake
 
huu uzi umenifanya niandike storia yang kwa ufupi ya maisha yangu ya kuanza kukaa getoo...kwakweli naheshimu sana mawazo yangu maana kama si kujiripua nsingekua hapa nlipoleo ..nakumbuka natoka zanzibar naingia morogoro kusoma kwenye moja ya chuo pendwa mkoa uwo ,,nakumbuka mwaka wa pili nlitoka hostel nkavuta chumba uswaz na niliamua kutafuta frem na kuilipia miez 4 kwa kupitia boom yangu nlibakiwa na pesa ndogo sana ya kunisogeza mpaka boom nyengne , bahat mbaya wakuu nlikua sjui ata biashara sahihi ya kuanza wakat ule huku nmeshalipia frame,nliwaza sana nakuwazua ,,nkamkumbuka mchizi wang mmoja hiv itabidi nile risk nyengne ya kumtumia nauli mshkaj wangu alieko pemba alikua hodar kwa mapish ya bites kama kachor,chips na bites nyengne ,mchizi baada ya kuja nkaanza kufanya nae kazi aisee sikuamini nlianza kama masihara tu ila ilikua ni kama njia ambayo sir god kaniwekea ili iwe wepesi wang kujikwamnua na life kwakweli kazi iliweza kunilipa pesa zote nlizozitoa mpaka kusimama biashara kipind chote sikuwaza kabisa kurud zanzibar ,,, ijapo kua wazee ndugu wanataman nkawatembelee ila staman tena kurudi na najutia kwann nlichelewa kuishi maisha ya kujitegemea kwakweli ni raha sana maana ,mwisho wa siku wanachuo wenzangu wote walikua wanakuja kula kwenye cafe yangu na kwa nnao wafaham nlikua kama mkomboz wao maana boom zao zikikata nkawa nawakopesha chakula mpaka wakitiliwa pesa na mama ..nliweza kupata kiwanja na mpaka kupata mschana wa uhakika aliekubali kuanza maisha na mm soon sitoita kiosk bali naita mgahawa kabisa maana nmeshatoa fursa za ajira kwa wafagiaji asubuh kwenye ofisi,,wakamataj wa biashara endapo nkipata safar za hapa na pale kwakweli nna mengi ya kuwashauri vijana wenzangu ila nakupa moja tu nalo ni (kua risk taker ) kwakweli woga wako ndo umaskini wako maana laiti ningehofia boom lang kwakweli nsingefika nlipofika
 
Good inspiration
 
Wanangu wa gheto eeeh
KOMAAAA ila usikubali kushare kitu chochote na demu ukiwa gheto...!!!

Simama wewe kama wewe.
Nilinunua vitu kibao nikaa na demu Fulani naschool nae.

Baada ya kuzinguana anadai kila kitu chake Tena anataka Hadi kupigana

Nikaona nilifanya makosa kukaa na demu aiseeee nimeondoka nimemuachia kila kitu.

Asaivi nalala chini Sina Cha godoro Wala Nini Nina nguo tu na pumbu mbili.


So tukomae wauni mademu sio watu
 

I'm so sorry bro go to help you and everything gonna be all rightDo you know this woman is nowadays they're not human and I have a such a bad heart heart believe me bro but you have to believe we have faith you know I'm saying OK thank you and you have a good night
 
Fresh sana Fundi bishooo
 

Unaondokaje?Inaonekana ulikaa kwa mwanamke, Au ulimpa jukumu la kilutafuta nyumba,kosa hilo.
 
Wapemba mkija bara mnafanya mtakalo, ila mtu wa bara kumiliki hata kiwanja Zanzibar, hairuhisiwi.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Wapemba mkija bara mnafanya mtakalo, ila mtu wa bara kumiliki hata kiwanja Zanzibar, hairuhisiwi.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Ulichosema Ni kweli na kina mantiki Sana! Mpaka Sasa hii ni kero kubwaaaa Sana kwenye MUUNGANO wetu!

Wanzanzibar wanaruhusiwa kupata na kumiliki ardhi kwa ukubwa wowote huku bara, wanaruhusiwa kujenga na kufanya watakalo lakini watanganyika haturuhusiwi kumiliki ardhi wala kujenga Zanzibar,,,, hii inatia hasira Sana!

Wasiporekebisha hili litakuja kuzua janga kubwa sana huko tuendako, kwa kizazi hiki cha Sasa cha vijana wabishi, wee subiria tuna waweka alama tu, siku likizuka lakuzuka ni Kama Nyerere alivyosema watu wataanza kuziingilia nyumba za wapembaaa!!


Lazima hii kero ya Muungano irekebishwe mapema sana bila hivyo Inapandikiza chuki, hasira , uhasama , vinyongo na viasasi huko tuendako!! Haiwezekani chetu kiwe chao lakini chao kibaki chao Big No!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…