Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
Ni makadirio tu mkuuKitanda pekee ndo 280k 5,6mkuu
Godoro 215k QFL 8inches
Feni ya juu 60k
320k Hisense 32’
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni makadirio tu mkuuKitanda pekee ndo 280k 5,6mkuu
Godoro 215k QFL 8inches
Feni ya juu 60k
320k Hisense 32’
Watakuwa wanajenga maana uzi umepoa sanaWazee mmejenga nini..? Haya kupost hampoat au mmegoma kutoka magetoNi...?
Sent using Jamii Forums mobile app
itakuwa ulikaacha kadem huko ulikamis mzee.Mi mwenyewe nililahumugu sana kurudi home baada ya kumaliza chuo sijui Kwa Nini nilifanyaga Ile mistake
Good inspirationhuu uzi umenifanya niandike storia yang kwa ufupi ya maisha yangu ya kuanza kukaa getoo...kwakweli naheshimu sana mawazo yangu maana kama si kujiripua nsingekua hapa nlipoleo ..nakumbuka natoka zanzibar naingia morogoro kusoma kwenye moja ya chuo pendwa mkoa uwo ,,nakumbuka mwaka wa pili nlitoka hostel nkavuta chumba uswaz na niliamua kutafuta frem na kuilipia miez 4 kwa kupitia boom yangu nlibakiwa na pesa ndogo sana ya kunisogeza mpaka boom nyengne , bahat mbaya wakuu nlikua sjui ata biashara sahihi ya kuanza wakat ule huku nmeshalipia frame,nliwaza sana nakuwazua ,,nkamkumbuka mchizi wang mmoja hiv itabidi nile risk nyengne ya kumtumia nauli mshkaj wangu alieko pemba alikua hodar kwa mapish ya bites kama kachor,chips na bites nyengne ,mchizi baada ya kuja nkaanza kufanya nae kazi aisee sikuamini nlianza kama masihara tu ila ilikua ni kama njia ambayo sir god kaniwekea ili iwe wepesi wang kujikwamnua na life kwakweli kazi iliweza kunilipa pesa zote nlizozitoa mpaka kusimama biashara kipind chote sikuwaza kabisa kurud zanzibar ,,, ijapo kua wazee ndugu wanataman nkawatembelee ila staman tena kurudi na najutia kwann nlichelewa kuishi maisha ya kujitegemea kwakweli ni raha sana maana ,mwisho wa siku wanachuo wenzangu wote walikua wanakuja kula kwenye cafe yangu na kwa nnao wafaham nlikua kama mkomboz wao maana boom zao zikikata nkawa nawakopesha chakula mpaka wakitiliwa pesa na mama ..nliweza kupata kiwanja na mpaka kupata mschana wa uhakika aliekubali kuanza maisha na mm soon sitoita kiosk bali naita mgahawa kabisa maana nmeshatoa fursa za ajira kwa wafagiaji asubuh kwenye ofisi,,wakamataj wa biashara endapo nkipata safar za hapa na pale kwakweli nna mengi ya kuwashauri vijana wenzangu ila nakupa moja tu nalo ni (kua risk taker ) kwakweli woga wako ndo umaskini wako maana laiti ningehofia boom lang kwakweli nsingefika nlipofika
Wanangu wa gheto eeeh
KOMAAAA ila usikubali kushare kitu chochote na demu ukiwa gheto...!!!
Simama wewe kama wewe.
Nilinunua vitu kibao nikaa na demu Fulani naschool nae.
Baada ya kuzinguana anadai kila kitu chake Tena anataka Hadi kupigana
Nikaona nilifanya makosa kukaa na demu aiseeee nimeondoka nimemuachia kila kitu.
Asaivi nalala chini Sina Cha godoro Wala Nini Nina nguo tu na pumbu mbili.
So tukomae wauni mademu sio watu
Fresh sana Fundi bishoooI'm so sorry bro go to help you and everything gonna be all rightDo you know this woman is nowadays they're not human and I have a such a bad heart heart believe me bro but you have to believe we have faith you know I'm saying OK thank you and you have a good night
Wanangu wa gheto eeeh
KOMAAAA ila usikubali kushare kitu chochote na demu ukiwa gheto...!!!
Simama wewe kama wewe.
Nilinunua vitu kibao nikaa na demu Fulani naschool nae.
Baada ya kuzinguana anadai kila kitu chake Tena anataka Hadi kupigana
Nikaona nilifanya makosa kukaa na demu aiseeee nimeondoka nimemuachia kila kitu.
Asaivi nalala chini Sina Cha godoro Wala Nini Nina nguo tu na pumbu mbili.
So tukomae wauni mademu sio watu
Yeah Kuna mahali na Mimi nilizingua ila kuondoka niliondoka Mimi ili kuepusha makubwa mana hasira nilizokuwa nazo Nilitaka kumkata matitiUnaondokaje?Inaonekana ulikaa kwa mwanamke, Au ulimpa jukumu la kilutafuta nyumba,kosa hilo.
Wapemba mkija bara mnafanya mtakalo, ila mtu wa bara kumiliki hata kiwanja Zanzibar, hairuhisiwi.huu uzi umenifanya niandike storia yang kwa ufupi ya maisha yangu ya kuanza kukaa getoo...kwakweli naheshimu sana mawazo yangu maana kama si kujiripua nsingekua hapa nlipoleo ..nakumbuka natoka zanzibar naingia morogoro kusoma kwenye moja ya chuo pendwa mkoa uwo ,,nakumbuka mwaka wa pili nlitoka hostel nkavuta chumba uswaz na niliamua kutafuta frem na kuilipia miez 4 kwa kupitia boom yangu nlibakiwa na pesa ndogo sana ya kunisogeza mpaka boom nyengne , bahat mbaya wakuu nlikua sjui ata biashara sahihi ya kuanza wakat ule huku nmeshalipia frame,nliwaza sana nakuwazua ,,nkamkumbuka mchizi wang mmoja hiv itabidi nile risk nyengne ya kumtumia nauli mshkaj wangu alieko pemba alikua hodar kwa mapish ya bites kama kachor,chips na bites nyengne ,mchizi baada ya kuja nkaanza kufanya nae kazi aisee sikuamini nlianza kama masihara tu ila ilikua ni kama njia ambayo sir god kaniwekea ili iwe wepesi wang kujikwamnua na life kwakweli kazi iliweza kunilipa pesa zote nlizozitoa mpaka kusimama biashara kipind chote sikuwaza kabisa kurud zanzibar ,,, ijapo kua wazee ndugu wanataman nkawatembelee ila staman tena kurudi na najutia kwann nlichelewa kuishi maisha ya kujitegemea kwakweli ni raha sana maana ,mwisho wa siku wanachuo wenzangu wote walikua wanakuja kula kwenye cafe yangu na kwa nnao wafaham nlikua kama mkomboz wao maana boom zao zikikata nkawa nawakopesha chakula mpaka wakitiliwa pesa na mama ..nliweza kupata kiwanja na mpaka kupata mschana wa uhakika aliekubali kuanza maisha na mm soon sitoita kiosk bali naita mgahawa kabisa maana nmeshatoa fursa za ajira kwa wafagiaji asubuh kwenye ofisi,,wakamataj wa biashara endapo nkipata safar za hapa na pale kwakweli nna mengi ya kuwashauri vijana wenzangu ila nakupa moja tu nalo ni (kua risk taker ) kwakweli woga wako ndo umaskini wako maana laiti ningehofia boom lang kwakweli nsingefika nlipofika
acha chuki za kingese wewe naona umekuja kwa lengo la kuchafua topic sipendagi watu wenye mawazo ya kijinga ....ww utaishi muda ukifika utakufa tu nzi wwWapemba mkija bara mnafanya mtakalo, ila mtu wa bara kumiliki hata kiwanja Zanzibar, hairuhisiwi.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Ulichosema Ni kweli na kina mantiki Sana! Mpaka Sasa hii ni kero kubwaaaa Sana kwenye MUUNGANO wetu!Wapemba mkija bara mnafanya mtakalo, ila mtu wa bara kumiliki hata kiwanja Zanzibar, hairuhisiwi.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app