Ulianzaje kukaa gheto?

Nakukumbuka mkuu

Hatime you made it...dah big up sana

Kumbe tukihamasishana tunatoka kwel [emoji16]
Inawezekana mkuu...now najickia amani saana kila nkitoka na kurudi kwangu....nacheki movies bila bugudha...nakula nitakacho...!!japo sijafika lkn hatua nimepiga

Kkubwa ni uzima tu...Tutafika ndugu yangu

Halafu kuna Ex alinikataaga anataka kurudi...!!i mic yu nying saana...!!ukianza kujitegemea heshima lazma upate
 
Shekhe usikae nae tu ila kufua afua ila usiishi nae jau kabisa na usijarbu hawa viumbe HAWANA MAANA JAPO NI MAMA ZETU
 
Wazee narudi skuli mara moja mzumbe moro hivi wenyewe wanajua vyumba ni kiasi gani moro wanambie
 
hahahahahah wakienda kuoga vikorombwezo kwenye maji ukiangalia vipochi vyao vina madawa hatar alafu ndo useme wamerogwa wanajiroga wenyewe hawatak kujishughulisha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umenikumbusha nilikua na marafiki wanga kinoma..usiku ukifika muda wa kulala wenyewe ndio wanafukiza Sasa..yalikua ni mateso jamani.
 
Ni juzi tu hapo Afrikana kwa ndugu yangu jaman na Leo nipo kwa basi narudi zangu magheton kwanguuu aisee ni ajabu sana labda kwa sababu ni mwanamme wa dar anaogopa kujitegemea
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] demiss wewe
 
Rating 5/10

Mdogo mdogo utafika.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] izi maisha wachache sana tumeishi.
 
Nimesoma comment zote kumbe wanaume wengi jf wapo getho lakini kwenye nyuzi zingine mnasemaga mnaishi kwenye majumba mna magar na mmeoa aisee hebu jaman punguzen hamjui mnavyotupa stress kuwa mmetoboa maishaa hatariii mtupe mbinu.
 
Nimesoma comment zote kumbe wanaume wengi jf wapo getho lakini kwenye nyuzi zingine mnasemaga mnaishi kwenye majumba mna magar na mmeoa aisee hebu jaman punguzen hamjui mnavyotupa stress kuwa mmetoboa maishaa hatariii mtupe mbinu.
Mtu hata kama anakaa nyumba ya vyumba viwili vya kulala na sebule kama bado hajaoa naona kama geto tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…